Tunajitafutia laana wenyewe!Mwanamke anajiweka katika hali hiyo wakati Vitabu vitakatifu vimeelekeza wajisitiri.Hapa pana mambo mawili: Kwanza yupo uchi,pili anatangaza ulevi ambao ni Mama wa maasi.Huu ni msiba!
Ndoa ni kitu kilichoasisiwa na Muumba wetu,sasa watu wanakifanyia mzaha an mwisho wake hua ni mbaya.
kwa picha hii matokeo ni watoto haramu wasiyemjua baba yao,malalamiko na lawama,ikiwa ni mara baada ya ibilisi kumtoka mwanamke huyu na kurudi katika hali ya kawaida,huwa mara nyingi ni MAJUTO!!