Na huu utupwe!

Na huu utupwe!

Sugi

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2011
Posts
1,392
Reaction score
295
Mtoto wa miaka 4 anatoka chooni, huku akipiga kelele : "baba baba mswaki wangu umetumbukia chooni"
Baba huku akimfariji mwanaye asijali atamnunulia mswaki mwingine,aliutoa mswaki na kuutupa kwenye dustbin.

Mtoto akionekana mwenye kutafakari jambo, aliondoka na kurudi akiwa kashika mswaki wa baba yake na kumuambia "baba tuutupe na huu maana juzi ulitumbukia chooni nikautoa"
 
daah! asee hahahahahaha.....baba alishautumia siku 2 zilizopita. :msela:
 
ayo mengine sasa mh!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! ata do wat ndo ishatokea akubaliane na dogo akautupe 2?!
 
Mama yangu mwanamke. Duuh. Balaa gani hii.
 
Aghhh aghhhhh pambaf lala chini 1234 nitakuwa wewe mtoto
 
aendelee na matumizi tu kama nnya ashaimung'unya sana 2!
 
kichapo kwa kwenda mbele, spare a rod spoil a child
 
Back
Top Bottom