Mani H
Senior Member
- Mar 25, 2011
- 180
- 46
migomo ya mara kwa mara ya vyuo hapa nchini inawezekana ikawa ni sababu ya kupungua kw idadi ya waliopass alevel mwaka huu kulinganisha na miaka ya nyuma?. me kwa mtazamo wangu kabla matokeo haya nilifikiria hili na kumweleza rafik yangu kuwa hii migomo inaweza ikaathiri matokeo ya alevel, na nilisema hivyo kufikiria kuwa serikali yetu inatafuta mbinu ya kupunguza migomo hiyo kwa njia yoyote yaaani yenye tiba kwa wanafunzi au isyo, vp wenzangu wa jf mnalizungumziaje ili?