Indume Yene Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 2,968 Reaction score 727 Jan 19, 2012 #1 Tuliona email za ikulu kwa JK akiwa na yahoo, haya huko kwa wenzetu pia naona kuna ka-ugonjwa kalekale ingawa ni wizara.
Tuliona email za ikulu kwa JK akiwa na yahoo, haya huko kwa wenzetu pia naona kuna ka-ugonjwa kalekale ingawa ni wizara.
B baba koku JF-Expert Member Joined Jan 5, 2011 Posts 412 Reaction score 140 Jan 20, 2012 #2 Kwani tatizo ni nini hapa.Tufafanulie basi
Dr.Chichi JF-Expert Member Joined Apr 30, 2008 Posts 2,393 Reaction score 639 Jan 20, 2012 #3 anataka email za kiofisi watumie website za ofisi zao
Mwazange JF-Expert Member Joined Nov 16, 2007 Posts 1,056 Reaction score 83 Jan 20, 2012 #4 Idara nzima ya habari haina namba ya simu, wee hushangai hilo?