kalipeni JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 1,590 Reaction score 1,357 Nov 20, 2020 #1 Wahaya wanapenda sana sifa kwakweli ata kama Hana kitu bado atajikweza tu, Ukimkuta kondakta wa daladala anapiga debe utaskia "kimara mbezi kimara mbezi na hii gari ni yangu"
Wahaya wanapenda sana sifa kwakweli ata kama Hana kitu bado atajikweza tu, Ukimkuta kondakta wa daladala anapiga debe utaskia "kimara mbezi kimara mbezi na hii gari ni yangu"
Heisenberg JF-Expert Member Joined Apr 26, 2017 Posts 1,688 Reaction score 2,982 Nov 22, 2020 #2 sawa
DeepPond JF-Expert Member Joined Nov 18, 2017 Posts 43,321 Reaction score 109,611 Nov 29, 2020 #3 Pale mchaga anapokutana na Dem wa kihaya