Na bado unajiita mwanaume...

Na bado unajiita mwanaume...

Jozee mkunaji

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2017
Posts
459
Reaction score
613
1. Umempa mimba mara tatu mwanamke wako, mara zote umemshinikiza azitoe halafu unamuacha, unaenda kuoa mwanamke mwingine. Halafu bado unajiita mwanaume.

2. Unamnyanyasa na kumpiga mkeo, unamdahrau mbele ya vinuka mkojo vyako. Halafu bado unajiita mwanaume.

3. Unambaka mwanamke na unadai unampenda sana. Halafu bado unajiita mwanaume.

4. Unalala na binti yako, eti kwa sababu umeona kifua kimechanua. Halafu bado unajiita mwanaume.

5. Una nyumba mbili na wake wawili. Na hakuna hata mmoja kati yao anaejua uko na mwanamke mwingine wa tatu. Na bado unajiita mwanaume.

6. Umepokea mshahara wako, unatumia kwenye pombe, sigara, wanawake na huachi kitu kwa mkeo. Na bado unajiita mwanaume.

7. Unaingia katika mahusiano, kwa ajili tu ya kumtumia huyo msichana kumkomoa mwanamke uliyekua unampenda. Na bado unajiita mwanaume.

8. Unamlazimisha mwanamke ngono kwa kutumia mamlaka yako aitha kielimu, kisiasa, kidini na pesa ulizonazo. Na bado unajiita mwanaume.

9. Unafanya ngono na mdogo wa mke wako, na unamwambia unatamani ungemuoa yeye. Na sasa ana ujauzito wako. Halafu bado unajiita mwanaume.

10. Unatembea huku suruali ipo katikati ya makalio, unatembea unanesa kama umekatika centre bolt, unatembea na selfie stick, uandishi wako ni wa 'Xaxa', 'xoxo', 'K' , unaongea huku unajiramba midomo na kurembua macho, umejiunga na team zari na team wema, siku nzima upo IG kutukana matusi ya nguoni. Halafu unajiita mwanaume.

Poleni wote mnaoteseka kisá mapenzi
 
Mkuu hawa wanaume wanaomaliza wiki bila kugegeda wake zao vipi?
Nafikil tusiingize Hii mada hapo mkuu japo ni muhimu ila ni Pana sana

Unaweza kukuta mwanaume ana Kaa wiki bila kumgegeda mkewe kwa makubaliano Yao binafsi lakin wanapo gegedana kila Mmoja analidhika kwa huduma tolewa na hivyo family bado inakuwa na furaha kama kawaida

Kibaya ni kutomridhisha mwenzi wako
 
Yeah, mimi mwanamume. Sioi kwa sababu ya huruma, Eti katoa mimba. Naoa nikijua ndio future yangu, hivyo sitaki kufanya makosa. Otherwise pendekeza wanaowapa mimba wanawake sharti wawaoe
 
Yeah, mimi mwanamume. Sioi kwa sababu ya huruma, Eti katoa mimba. Naoa nikijua ndio future yangu, hivyo sitaki kufanya makosa. Otherwise pendekeza wanaowapa mimba wanawake sharti wawaoe
Asante kwa kuongeza
 
Back
Top Bottom