Wengi wao ni wavulana mkuunamba 10 nimecheka! ukwel mwanaue yyt hapendezei jaman kutumia hizo xx! imagine mumeo ndo anakutxt namna hyo hhahahahhah!wanaume wamebaki wa kuhesabu kwakweli!
jinzia-jinsia
mkuu hauna meno nini?
kwamba hana meno!![]()
![]()
kwamba hana meno!
brain is the beautiful part of the body.
Hehe ni watani wako ee? Ngoja wakusikie sasa!huenda ni 'mhehe'
Hehe ni watani wako ee? Ngoja wakusikie sasa!
brain is the beautiful part of the body.
Hehehe kama ni kweli basi ni mhenga maana kashindwa hata kwenye keyboard kuuficha uhehe wake.hahhhhaha! ni ukweli! wana' na 'z',na 's' asante -sande! chumvi_chuvi!
Hehehe kama ni kweli basi ni mhenga maana kashindwa hata kwenye keyboard kuuficha uhehe wake.
brain is the beautiful part of the body.
Hehehe aiseeh hongera kwa kuwa muhengamie pia mhenga mkuu! teh kajisahau
Naangalia jina jozee mkunaji halafu unaleta hizi mada hapa. Tulipaswa kuona jinsia ya kike ndo inaleta hii mada au unaundugu na kina James delicious
Post sent using JamiiForums mobile app

maombi ya mwakasege yanatakiwa yakushukieMtazamo wako Ndio maisha yako Hakuna kitu kibaya hapo Zaid ya dhana zako potofuNaangalia jina jozee mkunaji halafu unaleta hizi mada hapa. Tulipaswa kuona jinsia ya kike ndo inaleta hii mada au unaundugu na kina James delicious
Post sent using JamiiForums mobile app