iyo ndoto inamaana! mimi nimeota sana! angalia kuna kitu cha hatari kina kufatilia hasa roho ya mauti!
Roho ya mauti inatafuta sababu hapo!
1. yawezekana kuna watu wanapanga kukuua
2. yawezekana unacheza mazingira hatarishi ya kimausiano pengine unao cheza nao ni +ve
3. Mungu amekuonesha kabisa usije sema hukujuwa! nenda ufunge na kuomba bado Mungu anakupenda kukuonesha hizo ndoto.