Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,174
- 143,959
- Thread starter
-
- #101
Umesema sana lakini it is all about your Signature; Miafrika ndivyo tulivyo.
Na hii ni kwa sababu tumelishwa kasumba mbaya na nchi za magharibi zikihesabiwa sambamba na USA.
Tunaamini katika hizo tu.
Lakini naomba uwasaidie wanajukwaa kufahamu ni kwa nini usiku na mchana SK na USA hawapumui wanapoilinda Military Demarcation line kati ya hawa blood related Nk & SK.
Muulize Japan pamoja na kwamba vita kati yake na NK iliicha NK hohe hahe na bado NK karudi kuwa tishio katika ukanda wao.
Muulize USA alijibu nini wakati NK alipomuhakikishia kuwa pamoja kuipiga SK ana uwezo wa kutandika nuke moja kwa moja katika ardhi ya USA.
Ni wazi nchi zote zinapiga propaganda sana japokuwa ni wazi nchi za Magharibi ukihesabu na USA kwa kutumia media zao zimetufanya "Miafrika kuwa kama tulivyo" . Hatuambiwi wala hatusikii kuhusu "wakubwa" hawa. And we don't argue.
Mataifa kama Russia, China, Irani, North Korea and the like; wanaiambia USA waziwazi kuwa wanauwezo wa kupambana nae kwa kujua kuwa pamoja na kwamba watashusha nuke katika ardhi yake pia wana uwezo wa kutandika katika ardhi ya swaiba zake hasa watakao host upuuzi wowote wa USA.
Na hii ni kwa sababu moja kubwa kwamba na wao wanahitaji resources zao na nyinginezo ziwasaidie wao kwa maendeleo yao kama apendavyo USA katika maendeleo yake.
So, kwa hilo mataifa hayo yanpofikia hapo hayana utani na ardhi yao hata kama angekuja "kiranja" USA.
Hebu niambie ni nchi gani katika Afrika itamtunishia msuli USA?
North Korea ilimwambia ataitazama kama "kuku anavyomtazama na kumtamani mende aliyeko kwenye kioo kigumu kabisa..."
Katika google utapata habari za NK lakini kwa uhondo na mapana zaidi pitia kwa uchache vitabu vya the Great Leader Kim IL Sung...viko vingi sana and Do that home work. Ukimaliza rudi hapa tuendelee kwa pamoja.
umekuwa brainwashed na marekani hadi unatia huruma....wabeba maboksi bna....ha ha ha....mnanichekeshaga sana
Aache uchokozi yacje yakamtokea ya enzi za US, Iraq na Kuwait
Kana kitu kizito ndicho kinachompa kibri na kalivyo na akili finyu haka kajamaa kanaweza kukiachia kitu kizito na kuathiri sehemu kubwa ya dunia kwa miaka chungu nzima ijayo.
Umesema sana lakini it is all about your Signature; Miafrika ndivyo tulivyo. Na hii ni kwa sababu tumelishwa kasumba mbaya na nchi za magharibi zikihesabiwa sambamba na USA. Tunaamini katika hizo tu. Lakini naomba uwasaidie wanajukwaa kufahamu ni kwa nini usiku na mchana SK na USA hawapumui wanapoilinda Military Demarcation line kati ya hawa blood related Nk & SK. Muulize Japan pamoja na kwamba vita kati yake na NK iliicha NK hohe hahe na bado NK karudi kuwa tishio katika ukanda wao.
Muulize USA alijibu nini wakati NK alipomuhakikishia kuwa pamoja kuipiga SK ana uwezo wa kutandika nuke moja kwa moja katika ardhi ya USA.
Ni wazi nchi zote zinapiga propaganda sana japokuwa ni wazi nchi za Magharibi ukihesabu na USA kwa kutumia media zao zimetufanya "Miafrika kuwa kama tulivyo" . Hatuambiwi wala hatusikii kuhusu "wakubwa" hawa. And we don't argue.
Mataifa kama Russia, China, Irani, North Korea and the like; wanaiambia USA waziwazi kuwa wanauwezo wa kupambana nae kwa kujua kuwa pamoja na kwamba watashusha nuke katika ardhi yake pia wana uwezo wa kutandika katika ardhi ya swaiba zake hasa watakao host upuuzi wowote wa USA. Na hii ni kwa sababu moja kubwa kwamba na wao wanahitaji resources zao na nyinginezo ziwasaidie wao kwa maendeleo yao kama apendavyo USA katika maendeleo yake. So, kwa hilo mataifa hayo yanpofikia hapo hayana utani na ardhi yao hata kama angekuja "kiranja" USA.
Hebu niambie ni nchi gani katika Afrika itamtunishia msuli USA? North Korea ilimwambia ataitazama kama "kuku anavyomtazama na kumtamani mende aliyeko kwenye kioo kigumu kabisa..."
Katika google utapata habari za NK lakini kwa uhondo na mapana zaidi pitia kwa uchache vitabu vya the Great Leader Kim IL Sung...viko vingi sana and Do that home work. Ukimaliza rudi hapa tuendelee kwa pamoja.
asante maana bado kuna watu wanaunderestimate north korea na hiii imetokea leo asubuhi
Mkuu yaani nakuunga mkono kabisa. Sisi miafrika sijui tumerogwa? na aliyetuloga kashakufa. Kuna watu humu wanamuona USA na jamaa zake wa ulaya kama MUNGU.
Bila USA hata wewe usingekuwa unakuja humu kuandika.
Iheshimu USA wewe.....
Hakuna kitu kama hicho man. Great brainwashed.....LOL
Unataka kusema wenyewe ndo waligundua Internet???? teh teh teh
Hata nawe umeandika sana ujue....
Nchi za Mashariki hazijatulisha hiyo kasumba mbaya?
Ni wazi si wote mnaoziamini.
North Korea wao wanapumua? Kwa taarifa yako nao hawapumui kwa kujua kuwa taifa kubwa lipo karibu kuilinda South Korea endapo huyo mwehu ataleta chokochoko na ndo maana kila siku hao NK hawaishi kuwatukana viongozi wa Marekani.
Zaidi ya mikwara huyo NK kaifanya nini Japan? Aivamie basi tuone kama kweli yeye ni gangwe.
Alihakikisha kwa vitendo ama kwa maneno? Aliivamia hiyo South Korea? My dad always told me that 'well done is always better than well said'. So until actually they do it their bark remains to be worse than their bite.
Mbona hapa mpo mnao-'argue'....?
Well done is always better than well said. Hata Saddam Hussein aliyasema yote hayo but where is he now?
And......?
USA haanzishi vita tu bila sababu.
Zimbabwe.
Ilimwambia lini? Na tayari nishasema hapa kuwa NK haina mpinzani kwenye propaganda na fiery rhetoric (mikwara). Na ndicho kitu pekee wanachokiweza.
Oh please! I have better things to do than read fictional narratives about the Hermit Kingdom.
Hitler alianza kwa staili hii kuzitisha nchi kubwa na dunia ikaogopa . Siku nchi kubwa zilipoamua kuwa inatosha walimzingira wakampiga kama mtoto na alipoona mambo magumu aliamua kujiua kwa sumu na kuamuru achomwe moto kuliko kukamatwa na warusi. Inaonekana huyu dogo hasomi historia au labda anataka historia ijirudie akiwa kama specimen.
Basi uko biased sana na katika hili subiri anguko la hao "wakubwa"....walipiga kelele sana waliotangulia zaidi ya huyu USA-wako wapi sasa?
NK anaendelea na yake hana haja ya kupigana vita japokuwa anasubiri anaetaka sebene lake.
Mwisho kuna maswali hapo kabla niliomba uyajibu lakini naona umepotezea ama kwa kupenda ama kwa kutaka kuendeleza ushabiki ili kuimarisha Signature yako. Kila la heri...
Ninavyojua NK anachokozwa aingie vitani dhidi ya hao "wakubwa" wakimtumia blood related SK. Tazama hapa...
Korea manoeuvred for even more independence of action. During the 1960s heavy industrial growth was emphasized, but the production of consumer goods and the general standard of living lagged, though in 1970 the estimated GNP per head was still higher than South Korea. Late in the 1960s, North Korea developed an especially aggressive stance towards the south: an assassination team nearly succeeded in killing South Korea's president, Park Chung Hee. In 1968 the Pueblo, a United States intelligence-gathering vessel, was seized by North Korean gunboats and its crew held for a year. Guerrilla raids were launched on the south, but without much effect. A US reconnaissance plane was shot down in April 1969. These events, rather than weakening the south, stimulated renewed defence measures and were probably counter-productive. They also influenced the formation of a harder political order in the south. A new constitution, promulgated in December 1972, created the post of president for Kim Il Sung.
In the 1970s secret talks with southern officials led to a joint declaration (July 4, 1972) that both sides would seek to develop a dialogue aimed at unification, but by spring 1973 this effort had dissolved in acrimony. Sporadic discussions on unification were held throughout the 1980s.
At the KWP Congress in 1980, Kim Il Sung's son, Kim Jong Il, was given high ranking in the Politburo and on the Central Committee of the party, placing him in a commanding position to succeed his father. Relations with the South swung between conciliation and aggression; in 1983 North Korean agents killed several South Korean Cabinet members in a bomb attack in Rangoon, but in 1986 the border with South Korea was opened for family visits. In November 1987 North Korean agents planted a bomb on a South Korean airliner which exploded over South East Asia, killing 115 passengers. These apparent shifts in policy may have stemmed from the initiatives of Kim Jong Il, reportedly an advocate of a hard line towards the South. Kim Il Sung was re-elected President in May 1990 for a four-year term.
C.C Nyani Ngabu.
Nani kaiandika hiyo?
Hicho kijamaa kinajua sana kuchimba biti.
Na hizo biti tumeshazizoea na wengine huwa zinatuchekesha sana.
Ni bora angejikita katika kuboresha maisha ya watu wake ikiwemo kuwapa uhuru wa kuona na kujua yanayoendelea nje ya hiyo nchi.
Hao watu wanaishi kama kuku wa kufugwa. Wanatia huruma. Wamechotwa akili.
Sielewi kwa nini mamiioni ya watu waweze kuchotwa akili na familia moja namna hiyo.
Halafu eti jina rasmi la hiyo nchi ni DPRK (Democratic People's Republic of Korea).
Hivi wanafanyaga hata chaguzi hao watu?
Vichekesho!!