Mzungu wa roho ina maana gani?


LUBEDE

LUBEDE

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Messages
4,111
Points
2,000
LUBEDE

LUBEDE

JF-Expert Member
Joined May 7, 2013
4,111 2,000
Mtu mwenye msimamo,anayesimamia haki na mkweli,hana uswahili swahili na longolongo nyingi kama wanasiasa wa chama cha mbogamboga!
 
Kunde Ekeke

Kunde Ekeke

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2018
Messages
1,425
Points
2,000
Kunde Ekeke

Kunde Ekeke

JF-Expert Member
Joined Feb 5, 2018
1,425 2,000
Wazungu wana roho mbaya ukimpata mwenye roho nzuri ndio tunaita mzungu wa roho
 

Forum statistics

Threads 1,284,750
Members 494,236
Posts 30,838,738
Top