Mkae na kuzungumza.Koneshana vitendo vinavyoashiria kuchokana havitawasaidia kamwe.Sema nae.
Tena nilimpenda kwa moyo mmoja, ila kumekuwa na mabadiliko makubwa sana toka anioe. Ilibidi nilalae mlalo huo maana hanipi mashamsham ya mapenzi. Kwa ujumla nimejikuta sina tena hisia naye. Nampenda mpaka kesho. Ila nafsi imegoma kabisa.
Jama ee, mie nshasema nae sana. Amkua akinihaidi atabadili tabia ila hamna cha kubadilika wala nini. So nkaona sasa ananicheza sheri, so na mie ncheze hio sheri basi.
Duh..! Kamanda naona unaua kabisa...Bora uanze tu kama umeshindwa kuvumilia harufu ya pombe.
Lakini kama anakunywa pombe kuchota na anavuta fegi harufu yake mmmmh! balaaa anaweza akawa anaua mbu kwa kucheua.
Jama ee, mie nshasema nae sana. Amkua akinihaidi atabadili tabia ila hamna cha kubadilika wala nini. So nkaona sasa ananicheza sheri, so na mie ncheze hio sheri basi.
Sasa Penny sijui unataka nini?watu wanadadisi na kutoa ushauri ili kujaribu kutatua tatizo lako we unakua mkali kweli,sasa kama ndo hivi no wonder kulala mzungu wanne kwenu imekua ni tabia.
Pole wee.
Mbona sina ukali ndugu, sema humu kunawatu ambao hawatoi ushauri wanabakia kuuzodoa tuu. Ndo maana pengine ninapowajibu inaonekana najibu kwa ukali. Hapana siko hivyo jamani. Mwenye kunipa ushauri vizuri ntamjibu kwa uzuri...Asante nasubiri ushauri wako pia usisite.
Duh..! Kamanda naona unaua kabisa...
Kuna ushauri wa kupiga mswaki, ama wewe kuingia chamani ili kuondokana na adha hiyo iwapo mapenzi bado yapo...Kumbe jibu mmelipata wenyewe. Haya sasa.
Kumbe jibu mmelipata wenyewe. Haya sasa.
Penny ni kweli mdogo wangu unapata taabu .. wenzetu hawajui kwamba mapenzi yanahitaji nyote muwe wasafi yani msioneane kinyaa .. ndo raha ya mapenzi .. sasa hata mtu akiwa amelewa huenda akakuzimikia njiani maana hawaaminiki .. wewe bado unamhitaji yeye anakoroma .. pole mammy ... nenda kwa wakuu wa familia ama kanisani ukamsemee.
La sivyo subiri akilala sikummoja .. umwage maji sehemu yake halafu unajikausha asubuhi .. uone atakavyo fedheheka .. wewe kimya kama haupo vile uone atakuambia nini .