Ha Ha Ha wadau leo nimekutana na mzungu akanipiga mzinga ili aweze kusukuma siku hadi j5 ambapo dada yake atamtumia hela kutoka marekani kwa madai eti account yake imeblockiwa,Nikamtell live kwamba sina kitu kwa kumsaidia tu nikamwambia nenda ubalozi wa marekani pale watakusaidia tu kwa kuwa ni raia wao,Wadada Kuweni makini sio kila mzungu ana hela ili mkaringishie nao u-turn wengne ni magumashi tu,matapeli ha ha ha ha ha ha
jamani yeye ni binadamu, na huwa inatokea hali kama hiyo huenda kweli A/C ina shida, mimi nilishawahi kopesha mzungu kwa sababu eneo alilopangiwa kazi lilikuwa mbali na benki waliyomrejister alipoingia tz, na tulimuelekeza alisafiri mpaka ilipo benki na alirudi akarudisha pesa aliyoazima. na alikuwa hana hata nauli wala pesa ya kula. si wote matapeli, ugeni na taratibu za eneo husika wakati mwingine si rahisi kuzielewa haraka na yeye ni mgeni
Ha Ha Ha wadau leo nimekutana na mzungu akanipiga mzinga ili aweze kusukuma siku hadi j5 ambapo dada yake atamtumia hela kutoka marekani kwa madai eti account yake imeblockiwa,Nikamtell live kwamba sina kitu kwa kumsaidia tu nikamwambia nenda ubalozi wa marekani pale watakusaidia tu kwa kuwa ni raia wao,Wadada Kuweni makini sio kila mzungu ana hela ili mkaringishie nao u-turn wengne ni magumashi tu,matapeli ha ha ha ha ha ha
Wachangiaji wengi hapa wameonesha mentality za kikahaba, wa kwanza ni aliyetuletea mada. Kusema dada zetu wawe makini sio kila mzungu ana hela maana yake ni kwamba wanapaswa kuwapapatikia wenye hela. Hizo ni akili za kijinga kabisa na ni ushauri mbaya.
Mzungu ni binadamu kama wewe na maisha hayana mwenyewe. Kama ishu ni kutapeliwa na tuonyane lkn hiyo statement ya dada zetu wawe makini, hiyo ni mentality ya KUJIUZA
Mkuu kama wewe sio msafiri basi huwezi kumsaidia mtu huyo.Ha Ha Ha wadau leo nimekutana na mzungu akanipiga mzinga ili aweze kusukuma siku hadi j5 ambapo dada yake atamtumia hela kutoka marekani kwa madai eti account yake imeblockiwa,Nikamtell live kwamba sina kitu kwa kumsaidia tu nikamwambia nenda ubalozi wa marekani pale watakusaidia tu kwa kuwa ni raia wao,Wadada Kuweni makini sio kila mzungu ana hela ili mkaringishie nao u-turn wengne ni magumashi tu,matapeli ha ha ha ha ha ha
Sawa Mkuu nimekupata.Mkuu kama wewe sio msafiri basi huwezi kumsaidia mtu huyo.
Lakini kama ulishawahi safiri nje ya bara la Africa ,au hata nje ya bongo na ukasaidiwa,,,na wengine,
Basi hiyo siyo ajabu kwa mtu tena raia wa kigeni kukuomba msaada...
Maisha ni safari ndefu sn mkuu,,unapopitia vingi basi utakuwa na cha kujifunza ktk maisha..
Na lazima uelewe sio kila mzungu ni kutoka marekani au ulaya yenye neema...
Ukitaka kumsaidia mtu msaidie bila kumuhukumu...