Mzungu na kiswahili

Kimbweka

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2009
Posts
8,597
Reaction score
1,690
Kuna Mzungu alikuja Tanzania kujifunza Kiswahili, alipomaliza kozi yake akiwa airport akaambiwa ongea maneno uliyojifunza kipindi hiki,akaanza Umeme Katika, Umeme utakuja Saa ngapi?,Umeme hamnaa, Mgawo haujaisha,Tanesco umeme wapi? Ngeleja leta umeme, Mabwawa hayana Maji ya Umeme, Huoooooo Umerudi, Aaaah Wamekataaaa, Huoooooo, Aaah wamekata
 
Huyo atakuwa yule wa symbion..mbona ya tanesco tu??
 
kweli watu mmechoka na mgao wa umeme
 
duh inabidi hili tatizo lipate topic ktk somo la history
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…