Mzungu mwenye moyo wa kibongo

ndugu zangu,

Kwanza nijitambulishe kwa kuthibitisha mimi ndiye mzungu wa asili ya Kimarekani. Jina langu ni Riley (kifupi 'Rai') au pia watu wa kabila Taita huniita Mwadime - uchague lile unalolipendelea kuniita.

Kabla ya janga la UVIKO 19 niliwahi kuishi Afrika Mashariki haswa Tz takriban miaka miwili. Kusema ukweli nazipenda sana utamaduni za eneo hilo, lugha ya kiswahili, na mtindo wenu wa maisha unaonivutia hadi leo. Siku hizi niko njiani mwa kupata shahada yangu ya pili (uzamili) hapa USA lakini najua ni lazima nirudi kwenu punde nikiwa na nafasi.

Nikisubiria nafasi hiyo nimekuwa najipanga mambo ya baadaye ili niwe tayari kuhamia Tz. Suala linalonisumbua zaidi ni lile la mauzaji ya ardhi ikiwa mnunuzi ni mgeni kama mm. Nataka ardhi ya kujenga nyumba tu, lakini cjui kama nitakatarajiwa na mamlaka husika kuendesha biashara huko kwenye ardhi.

Naomba msaada wa mtaalamu kunielezea kidogo jinsi ya wageni kununua ardhi na nini vitahitajika.

Ahsanteni jamaani
Wewe ni mzungu au mmakonde anayetamani uzungu? Mara mtaita mara hoo mara nini. We rudi kwenu tusote pamoja badala ya kujirusha kimanga. Kama umeamua kuwa mtaita basi wewe ni mswahili wala si mzungu tena.Mbona tunao wengi kama akina Richard Mabala ambao waliukana uzungu na sasa ni waswahili wa nguvu? Karibu uswahilini.
 
ndugu zangu,

Kwanza nijitambulishe kwa kuthibitisha mimi ndiye mzungu wa asili ya Kimarekani. Jina langu ni Riley (kifupi 'Rai') au pia watu wa kabila Taita huniita Mwadime - uchague lile unalolipendelea kuniita.

Kabla ya janga la UVIKO 19 niliwahi kuishi Afrika Mashariki haswa Tz takriban miaka miwili. Kusema ukweli nazipenda sana utamaduni za eneo hilo, lugha ya kiswahili, na mtindo wenu wa maisha unaonivutia hadi leo. Siku hizi niko njiani mwa kupata shahada yangu ya pili (uzamili) hapa USA lakini najua ni lazima nirudi kwenu punde nikiwa na nafasi.

Nikisubiria nafasi hiyo nimekuwa najipanga mambo ya baadaye ili niwe tayari kuhamia Tz. Suala linalonisumbua zaidi ni lile la mauzaji ya ardhi ikiwa mnunuzi ni mgeni kama mm. Nataka ardhi ya kujenga nyumba tu, lakini cjui kama nitakatarajiwa na mamlaka husika kuendesha biashara huko kwenye ardhi.

Naomba msaada wa mtaalamu kunielezea kidogo jinsi ya wageni kununua ardhi na nini vitahitajika.

Ahsanteni jamaani
You are free
 
Mimi sitafuti mabaya ya jamii...natafuta positivity tu....najua kuna watu wabaya na wazuri....najitahidi kukaa mbali na wabaya na wasiwarudishii ubaya wowote,nakaa na wazuri zaidi
Keep this spirit mkuu. This is the best practice that we should all observe. Mimi pia huwa ninaamini kwenye kila nafsi kuna roho njema. Pia we can't force people to love us and treat us well.
 
Back
Top Bottom