eddy brown
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 414
- 314
Kuna Mwafrika alipanda ndege na kukaa karibu na mzungu ambaye anasafiri na nyani wake,jamaa mara akaenda chooni kurudi akakuta mfuko wake ulikua na ndizi uko mtupu, akamuuliza yule mama wa kizungu, ndizi zangu zi wapi? Akajibiwa kua ndugu yako kala. Mara nae yule mzungu akaenda chooni, huku nyuma jamaa akaamua kumkaba nyani, kurudi nae akamkuta nyani kafa, kuuliza kulikoni? Akamjibu, Haya mambo ya familia hayakuhusu. Mzungu hoi.