Mzungu kupiga watanzania risasi kila mara ni haki?

Kwa hiyo mwanzisha mada lengo lako kubwa ni nin?? Hasa au unataka kutushawishi tukubaliane na kuwatetea hao majangiri na majambazi??

Tusiwe wanafiki jamani mbona tunaelekeza lawana na hukumu zoote kwa huyo mzungu na kusahau ya kuwa serikali yetu inaongoza kwa kuwaua na kuwatandika risasi watanzania wenzetu wasio na kosa au hatia yoyote ile.

Mzungu huwa anaua majangiri,majambazi

na serikali huwa inaua wananchi wasio na hatia? Je? Hapo mwenye kosa ni nan?
 

SIKUBALIANI!
Kwanza mleta mada ameripoti habari za mwekezaji "kupiga risasi" WEZI NA WAVAMIZI na siyo "kuwaua" na yote ameeleza HANA UHAKIKA WALA DETAILS ZA MATUKIO.

Kimsingi naona hajajipana kutuletea kitu chenye mashiko! Hatuwezi kutetea tu uhalifu eti kwa sababu umetendwa na ndugu ye dhidi ya mgeni mwekezaji. Before we can sopport him kindly ask him to come in a manner befitting thinkers.
 
Mhalifu anatakiwa kukamatwa na kushtakiwa kwenye vyombo husika na sio watu kujichukulia sheria mikononi!!!Huyo Mzungu anatakiwa apelekwe kunakohusika!!!

That's double standards. He killed and no action was taken against him. He has repeated it coz of Kiburi. What follows ni kumkonkasheni iwe fundisho kwa wengine!
 
Watz wa ajabu,unaingia kwenye himaya ya mtu kiuharifu then mnalalama eti mnaonewa!hata kama ni mimi ningewashona risasi wezi wakubwa nyie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…