Ndahani Platinum Member Joined Jun 3, 2008 Posts 18,158 Reaction score 9,181 Aug 19, 2009 #81 Kweli ukion vyaelea vimeundwa...sasa unaelea ufisadi tunashangaa nini? wazungu tumewapa jina la heshima,WAWEKEZAJI. Wanawekeza nini na wapi hilo sijui sana.
Kweli ukion vyaelea vimeundwa...sasa unaelea ufisadi tunashangaa nini? wazungu tumewapa jina la heshima,WAWEKEZAJI. Wanawekeza nini na wapi hilo sijui sana.
SPY CATCHER JF-Expert Member Joined Mar 7, 2015 Posts 285 Reaction score 187 Mar 15, 2015 #82 Akipewa mzungu mnalalamika Amepewa Mshiriri wa HSC mnalalamika Aapaewa black American mmelalamika sasa apewe nani??
Akipewa mzungu mnalalamika Amepewa Mshiriri wa HSC mnalalamika Aapaewa black American mmelalamika sasa apewe nani??