Mzungu Aanza Kazi Simba

Mzungu Aanza Kazi Simba

simba+tizz.JPG

Iko siku kila mtu ATAIPENDA SIMBA
 
japo sijakusoma sana, lakn leo alianza kama mchezaji wa ndani na anaonekana hayuko fiti sana kwa oumzi ambayo ni nguzo ya golikipa, unajua mpira uko tumboni (pumzi) na ndio maana kocha alianza kwa kumkagua tumbo maana anaonekana alijiachia mishikaki/mdudu's

Berko nimemuona kama wiki 4 zimepita akiichezea timu fulani ya ghana siikumbuki jina na alidaka vizuri sana hadi watangazaji wa supersport wakawa wanamfagilia na kushangaa kwa nini hana bahati ya kudakia timu yake ya taifa. Nikawa najiuliza hivi ni kwanini Yanga walimuacha.

Lakini kwa ukweli nashangaa kwa nini Simba wamemsajili huyu kipa japo ni mzuri na kumuacha Ivo Mapunda! Kwa performance ya Ivo iko juu sana na kwa kweli hakuna tofauti sana kati ya hawa makipa wawili na tena Ivo yuko fit zaidi kuliko huyu ambaye sijajua kama tatizo lake la bega limekwisha.
 
tatizo simba wanafukufukuza sana makocha mi walinikera walivyomfukuza milovan yaani niliona ni wapuuzi kabisa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom