Mzungu Aanza Kazi Simba

Mzungu Aanza Kazi Simba

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,154
Reaction score
13,267
keep running...........boys running............decision.............hayo ni maneno yaliyokuwa yakirudiwarudiwa na kocha anayetarajia kuchukua mikoba ya Kibadeni Simba
 
hayo maneno yanaashiria kuwa kocha huyu ni mtu wa mpira wa kasi japo pia anaonekana kuhimiza high balls
 
baadhi ya wachezaji waliokuwepo ni pamoja na kipa mpya Yaw Berko
 
pia walikuwepo Uhuru Suleiman Mwambungu mchezaji aliyekua kwa mkopo Coastal Union ya Tanga
 
wachezaji walioonekana kuendana na kasi ya kocha ni pamoja na Uhuru, Zahoro na Issa Rashid ilihali Humud, Jonas na Redondo walionekana kucheza taratibu sana
 
watza tunataka BRN, ndiyo maana Kibaden ameshindwa kukidhi kiu ya wanasimba
 
​

​
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]KIPA YAW BERKO KWA MARA YA KWANZA AKIWA NA UZI WA SIMBA KATIKA MAZOEZI YA TIMU HIYO LEO JIONI KWENYE UWANJA WA KINESI, HAPA AKIWA NA UHURU SELEMANI AMBAYE AMEREJEA SIMBA[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
berko.JPG

​
 
Kumbe jamaa ni ALHAMISI Berko.....

[h=3]Male (Ashanti tribe in Ghana).[/h]
  • Monday: Kojo, Kwadwo, Jojo, Cudjoe, Kudjoe, Kodzo
  • Tuesday: Kwabena, Ebo, Kobena, Kobina, Kobby, Komi
  • Wednesday: Kwaku, Kweku, Kwiku, Korku
  • Thursday: Yaw, Ekow, Yao, Yokow
  • Friday: Kofi, Fiifi, Yoofi
  • Saturday: Kwame, Ato, Atoapem, Kwamena, Kwami
  • Sunday: Kwasi, Akwasi, Kwesi
baadhi ya wachezaji waliokuwepo ni pamoja na kipa mpya Yaw Berko
 
mkuu nitie moyo kuhusu Yaw Berko,naona kama limekuja ghafla ivi

japo sijakusoma sana, lakn leo alianza kama mchezaji wa ndani na anaonekana hayuko fiti sana kwa oumzi ambayo ni nguzo ya golikipa, unajua mpira uko tumboni (pumzi) na ndio maana kocha alianza kwa kumkagua tumbo maana anaonekana alijiachia mishikaki/mdudu's
 
umechimba sana kama sio wa Sikonge vile
Kumbe jamaa ni ALHAMISI Berko.....

Male (Ashanti tribe in Ghana).


  • Monday: Kojo, Kwadwo, Jojo, Cudjoe, Kudjoe, Kodzo
  • Tuesday: Kwabena, Ebo, Kobena, Kobina, Kobby, Komi
  • Wednesday: Kwaku, Kweku, Kwiku, Korku
  • Thursday: Yaw, Ekow, Yao, Yokow
  • Friday: Kofi, Fiifi, Yoofi
  • Saturday: Kwame, Ato, Atoapem, Kwamena, Kwami
  • Sunday: Kwasi, Akwasi, Kwesi
 
kaseja+yanga+4.JPG
japo sijakusoma sana, lakn leo alianza kama mchezaji wa ndani na anaonekana hayuko fiti sana kwa oumzi ambayo ni nguzo ya golikipa, unajua mpira uko tumboni (pumzi) na ndio maana kocha alianza kwa kumkagua tumbo maana anaonekana alijiachia mishikaki/mdudu's
mfano ni huu wa Juma
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom