MR BINGO
JF-Expert Member
- Feb 12, 2016
- 1,216
- 2,614
Kama nilivyosema hapo Juu ila natoa utabiri Kuwa Moja ya Sababu Kuu itakayomuondoa Kocha aliyechukua Mikoba ya Manqoba Mngqithi Hapo Jangwani Bwana Fadlu Davies ni kuwa Anatumika na Wapinzani wao Simba Sports Club kuwahujumu
NB:Hili litatokea bila kutegemea mwendelezo wa ushindi au hata kama atafanikiwa kuchukua ubingwa akiwa hapo jangwani ila ukifika muda wake wa kuondoka Hiyo ndo skendo kubwa itakayomuondoa
NB:Hili litatokea bila kutegemea mwendelezo wa ushindi au hata kama atafanikiwa kuchukua ubingwa akiwa hapo jangwani ila ukifika muda wake wa kuondoka Hiyo ndo skendo kubwa itakayomuondoa