Mzumbeeee | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mzumbeeee

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by kijembeee, Jun 8, 2012.

 1. kijembeee

  kijembeee JF-Expert Member

  #1
  Jun 8, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 411
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  stagered ya mzumbe inaboa asikwambie mtu,ukikaa vibaya unaeza ukaacha kusoma,miez mitano nyumban si utani.Mnaopanga kuja mzumbe beware
   
 2. G_crisis

  G_crisis JF-Expert Member

  #2
  Jun 8, 2012
  Joined: Jun 19, 2011
  Messages: 715
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 45
  Mbona hiyo likizo ipo poa ukiwa na ishu za kufanya, mi naifurahia hii likizo for now
   
 3. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #3
  Jun 8, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 867
  Trophy Points: 280
  Jishughulishe wewe,wacha kulia lia.
   
 4. kichwat

  kichwat JF-Expert Member

  #4
  Jun 8, 2012
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 1,824
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  nashauri somo la Ujasiriamali lifundishwe Sekondari ili kuondoa upofu mkubwa kwa vijana wetu.
  Waliosema TIME IS MONEY hawakukosea.
  Mleta mada JIPANGE kuitumia hiyo miezi kwa faida.
   
 5. kijembeee

  kijembeee JF-Expert Member

  #5
  Jun 8, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 411
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  tempo shida,kujiajiri mitaji nayo kwa cc choka mbaya ni ndoto,any specific ideas
   
 6. kichwat

  kichwat JF-Expert Member

  #6
  Jun 8, 2012
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 1,824
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  ok. Kama hali ya hewa inaruhusu lima nyanya.
   
 7. kijembeee

  kijembeee JF-Expert Member

  #7
  Jun 8, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 411
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  mm mtoto wa kota ata sehemu ya kupanda maua hamna
   
 8. kijembeee

  kijembeee JF-Expert Member

  #8
  Jun 8, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 411
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  big up mzeiya
   
 9. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #9
  Jun 8, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 867
  Trophy Points: 280
  Kauze machungwa kijana.
   
 10. B

  Bob G JF Bronze Member

  #10
  Jun 8, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 2,354
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Muhimu Kujua ili ujipange vizuri na si kukimbia miezi 5 kwa mtu makini unaweza fanya mambo mengi kwa manufaa yako na jamii yako
   
 11. Kingmairo

  Kingmairo JF-Expert Member

  #11
  Jun 8, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 4,977
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  Vijana wa siku hizi bwana mmekuwa legelege sana halafu wabinafsi, kupewa likizo mnalalamika kama ni adhabu wakati mkikosa nafasi ya vyuoni mnalialia. Mnataka mfanyiwe nini hasa? Je mngeambiwa lazima mpoteze mwaka mzima geshini before kuingia chuo kama enzi za zamani si mngetamani kuzikwa? Shukuru kwa kupata nafasi na ujishughulishe! Utaumia kijana
   
Loading...