Mzumbe University | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mzumbe University

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Kifulambute, Apr 24, 2012.

 1. K

  Kifulambute JF-Expert Member

  #1
  Apr 24, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,509
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Jamani mbona mzumbe hawafungui branch Arusha jamani twateseka na kupata evening classes for Masters
   
 2. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #2
  Apr 24, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  mzumbe ni moja ya vyuo ambavyo sioni progress yake..wana fanya mambo yao taratibu sana-nenda hata mzumbe main campus uone mazingira yake ni ya ajabu huwezi amini kama ndo mzumbe university..
   
 3. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #3
  Apr 24, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Chuo kikuu cha muzumbe university.
   
 4. N

  Ntu JF-Expert Member

  #4
  Apr 24, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 564
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 60
  Mkuu nenda ESAMI u-focus Int'l Level not local!!!
   
 5. Lenana

  Lenana JF-Expert Member

  #5
  Apr 24, 2012
  Joined: Oct 10, 2010
  Messages: 422
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Ufisadi mwanzo mwisho from Warioba to Kuzilwa mambo ni yaleyale nenda main cumpus ujionee bweni lililojengwa kwa milioni mia nane na zaidi utajiridhisha!
   
 6. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #6
  Apr 24, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Kuna Masters Institute of Accountancy Arusha (IAA mbele ya ESAMI) Njiro. Zinatolewa kwa collaboration na Conventry University, ni za jioni pia. Check website yao Institute of Accountancy Arusha, na mwaka huu kuna schorlaship.
   
 7. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #7
  Apr 24, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Nenda ESAMI mkuu.
   
 8. Mushobozi

  Mushobozi JF-Expert Member

  #8
  Apr 24, 2012
  Joined: Aug 20, 2007
  Messages: 542
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  utaratibu labda sababu ya fungu dogo
   
 9. K

  Kipilime Senior Member

  #9
  Apr 24, 2012
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 117
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Natofautiana na wewe kwa hoja. Huoni progress za Mzumbe University kwa kuwa umeamua kutoziona au progress zenyewe hazionekani licha wewe kuwa na uwezo wa kuona. Hapo kuna shida fulani kwa hakika. Ila wengine wanayaona yafuatayo. Ndani ya miaka michache tangu kuanzishwa kama University, wemepanua matawi ya DSM kwa Postgraduate programmes na Mbeya kwa undergraduate na Postgraduate programmes. Na sasa kuna "Evening programes" Mjini Morogoro. Wamenza Campus nyingine Mwanza wakiwa na wanafunzi 50 na mwaka huu watadahili wanafunzi 150 wa shahada ya Uzamili. Wamefungua Campus Nyingine Tanga ambako mwaka huu wataanza na MBA na LLM programmes. Kama huoni, kuna uwezekano mkubwa ukawa na Makengeza.
   
Loading...