Mzumbe University Selection 2014

jaman m nimechaguliwa bt nilikosea heruf moja kwenye jina langu nifanyeje jaman?
 
Naomba msaada wa kufaham selection yangu maana cjafaham jinsi kuipata na selection yangu iko aproved kwenye profile
 
Wakuu kuna kijana kapangwa hapo BPA na anataka afanye transfer kwenda LLB, vipi itabidi afanyie transfer directly akifika chuoni au anatakiwa afanyie through TCU?
 
Nimechaguliwa hapo ila chuo hakijatoa majina nikifata admision leter nitapata? ni muhimu kwa ajili ya udhamin.
 
Kinacho nichanganya ni maelezo yanayoonyesha kunacoz zitaanza 20 oct mpaka 20 feb na kunanyingine hazijaonyeshwa ikiwemo Bsc ICTB je hiz ztaanza lini?

Tar 13 ni admission. Sasa usipofanya admission hata kusoma hutosoma
 
Tar 13 ni admission. Sasa usipofanya admission hata kusoma hutosoma

Mkuu kat.ph kuna kijana kapigwa BPA but anataka akifika ahamie LLB hapo mzumbe, je inawezeakana au afanye njia zipi ili atimize adhma yake.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu kat.ph kuna kijana kapigwa BPA but anataka akifika ahamie LLB hapo mzumbe, je inawezeakana au afanye njia zipi ili atimize adhma yake.

Aende inawezekana. Awahi hiyo tar13 ili aweze fanyiwa transfer
 
Last edited by a moderator:
kama kuna ambaye hajacheki hadi sasa aseme course nitupie majina asaivi....!!!!
 
Mimi tcu naonekana nimechaguliwa mzumbe lakini kwenye orodha ya majina langu halipo nini hatima yangu?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom