Mzumbe University Selection 2014

Peaceful Warrior

Senior Member
May 28, 2013
125
28
Mnakaribshwa wote kwa wale waliochaguwa Mzumbe kwa acourse mbalimbali Administration, Social science, bussines, economics na law. Karibuni Moro km20 from Moro mjini, friendly environment for studying. Ushauri tu atandaa nguvu ya kusoma, kunywa maji mengi. Karibu sana wanaokuja kusoma BAF. Mnapenda kujua nini kuhusu MU niulize
Welcome MU (Millitary University)

Haya hapa nimeattach..karibuni military university

MZUMBE UNIVERSITY (CHUO KIKUU MZUMBE)

CANDIDATES SELECTED TO JOIN INTO VARIOUS DEGREE PROGRAMMES FOR

THE ACADEMIC YEAR 2014/2015

The candidates listed below have been selected through

CAS(Central Admission System) to join various degree programmes at Mzumbe University (MU) in the academic year

2014/2015

View attachment 189329

Mnakaribshwa wote kwa wale waliochaguwa Mzumbe kwa acourse mbalimbali Administration, Social science, bussines, economics na law. Karibuni Moro km20 from Moro mjini, friendly environment for studying. Ushauri tu atandaa nguvu ya kusoma, kunywa maji mengi. Karibu sana wanaokuja kusoma BAF. Mnapenda kujua nini kuhusu MU niulize
Welcome MU (Millitary University)

Oya majibu ya undergraduate lini? Tuanze na hilo
 
kusoma hapo ni kama adhabu kweli baadhi ya vyuo wameshaingia mwaka wa pili wao ndo manamaliza semister ya pili mwaka wa kwanza
 
sifahamu exactly hayo ni maswala ya kiofisi ila Ni muda wowote kuanzia leo, selection pamoja accomodation zitatoka soon
 
kusoma hapo ni kama adhabu kweli baadhi ya vyuo wameshaingia mwaka wa pili wao ndo manamaliza semister ya pili mwaka wa kwanza

HakuNa adbhabu yoyote ni ratiba tu, kusma kwamba wengine wanaingia mwaka wa pili Mzumbe bado wa kwanza hakuna ukweli wowote sema ujaelewa.semister ya pili inaisha mwezi wa 10 na mwezi huohuo wanaingia mwaka wa pili kama vyuo vingine tu so hakuna tofauti apo.
 
utofaut poo ww,mbna IFM tunaanza semister wote na tunamaliza wote muda wa kwenda nyumbni kila mtu anabeba kilicho chakee iweje wewe unaesema hayoo,KUBALI YAISHEE BWANAH KWANI WW WA KWANZA KUSOMA HAPO BWANAH
 
tofauti ipo semister ya 2 tu kwenye likizo tu na sie tunaanza mwezi7, ila mwaka wa pili tuanza wote mwezi wa 10
 
nimecheck profile yangu nimepata Hapo MZUMBE ILA AIJAWA CONFIRMED NA CHUO COZ YA BAF NAULIZA IF KUNA POSSIBILITY YA BAF YA MWAKA HUU KWENDA MBEYA,NILISIKIA FUNUNUA KWAMBA KUANZIA MWAKA HUU BAF YA BS WOTE WANASOMEA MBEYA NI KWELI MKUU?
 
Uwakika bado sina kwa suala hilo hizo ni lonja tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom