jamal seif
Member
- Nov 24, 2014
- 78
- 13
Vyuo vingi sana vimekwisha toa post najua tupo wengi sana tunao subiri post zao. Tafadhali naomba waziachie mapema ili sisi watoto wa masikini tujue tunajipanga vipi? Mnatuacha na mawazo sana kwa sababu hatujui hatma yetu mpaka sasa. Tunaomba mtukumbuke jamani kama wapo wahusika nina imani watafikisha maombi yetu