Mzumbe Mbeya ni zaidi ya Mbuga

kudadeki mtoa mada nina mwanangu pale anasoma yaani nikisikia umemtafuna nakushusha kishipa cha makalio. Huwezi kuniharibia mwanangu pekee wa kike kipuuzi namna hiyo wakati mie nategemea aje kuwa kama Oprah Winfrey siku za mbele
Kama alipita 18 zangu nisamehe tu
 
Mie nikiona wanaume wenzangu watu wazima wanahangaishana na vibinti vya chuo, huwa nawaonea huruma mabinti zao majumbani kwao.
 
Mkuu unachosema ni kweli..mimi ninamfaham mtoto mmoja mkali sana yuko mwaka wa pili mrefu na hips plus bambata ya ukweli..mara nying anapenda kwenda club...aisee yule mtoto ni balaa...
 
Daa tumekianzisha sisi kile chuo 2005 to 2008 kipindi hiyo mamaland ndio inawika na Director wetu Ross Kinemo! Sasa hivi madogo wanabehave utadhan Cbe?
 
Kapime kwanza maana umekanyaga sehemu hatari sana kwa sisi ambao tunaijua vizuri FOREST , TIA, MZUMBE na Hapo CARNIVAL basi nakushauri uka check Afya kwanza Ukiwa umesalimika ukome kwenda sehemu hizo utakuja kufa !!!
 
Dah! Nilidhani labda sample za wanyama akina simba, chui, fisi n.k ndo zinapatikana hapo mzumbe...mwee
 
Duuhhh kazi kweli kweli. Kumbe Hata vyuoni Kuna watoto.
je huyobinti wa miaka 18 na bado anategemea wazazi ama walezi si mtoto? ila hilo sio shida shida ni kumvurugia masomo na nio maan wengi wanabeba mimba vyuoni na hivyo kuathiri usomaji wao!!! swali mwanao yuko chuo ama mdogo wako anakwambia nina mtoto na bado anasoma wewe ndiye unatoa mahitaji maana magu na ndali mikopo hakuna how wil they feel?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nikajua Mbuga za wanyama, nije kutaliii
 
descent = maana yake nini hili neno?

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…