Mzumbe Mbeya ni zaidi ya Mbuga

Mzumbe Mbeya ni zaidi ya Mbuga

Karibu Kabwe Mkuu Tule Kitwanga Za Kutosha..

ONYo:: Mzumbe Mbeya Campus Ni Moja Ya Chuo Ambacho Mama Salma Alimwaga Wale watoto wake, So kuweni makini sana.
 
je huyobinti wa miaka 18 na bado anategemea wazazi ama walezi si mtoto? ila hilo sio shida shida ni kumvurugia masomo na nio maan wengi wanabeba mimba vyuoni na hivyo kuathiri usomaji wao!!! swali mwanao yuko chuo ama mdogo wako anakwambia nina mtoto na bado anasoma wewe ndiye unatoa mahitaji maana magu na ndali mikopo hakuna how wil they feel?

"For every effect there is a cause " Kila jambo hutokea kwa sababu.
 
Jamani, mwacheni mtoa mada bado anakua🙂, na huu ndio wakati wake wa kustaajabia ya Musa na kuyaona ya Firauni...
 
Pana watoto wa kike kama 300 hivi walioathirika VVU +VE tangu utoto chini ya programu fulani wapo hapo kutoka maeneo mbalimbali ya nchi.Nakusikitikia!
 
Back
Top Bottom