be unique
JF-Expert Member
- Oct 12, 2016
- 2,381
- 2,292
Kama alipita 18 zangu nisamehe tukudadeki mtoa mada nina mwanangu pale anasoma yaani nikisikia umemtafuna nakushusha kishipa cha makalio. Huwezi kuniharibia mwanangu pekee wa kike kipuuzi namna hiyo wakati mie nategemea aje kuwa kama Oprah Winfrey siku za mbele
Mkuu unachosema ni kweli..mimi ninamfaham mtoto mmoja mkali sana yuko mwaka wa pili mrefu na hips plus bambata ya ukweli..mara nying anapenda kwenda club...aisee yule mtoto ni balaa...Imekua ni mazoea kila mchana mda wa lunch break kazini kupata lunch pale maeneo ya mzumbe tawi la Mbeya,
wengi watakubaliana na mimi ile sehem ni Mbuga maana kila mnyama unaetamani kumona yupo, Yani pana sample za aina zote na uzuri vitoto vya pale ni 19 - 23 fresh from secondary, kila type ipo pale warefu, weusi, waliojaza, flatscreen ,n.k, Uzuri ni kwamba wengi wale mwaka wa kwanza wanakuaga bado hawajakomaa ulimwengu wa mapenzi.
Gia za kuwaendea hawa watoto ni simple sana we waambie tu umehitimu pale last year na umeajiriwa then kesho yake mpelekee ua na mafuta wa nywele chumbani mvishe shanga za kiunoni..KWISHA MCHEZO, Watoto wa pale sio ka wale malaya wa carnival, hawa watoto ni so descent ambao bado wanaamini true love za secondar, Maisha ni mafupi so enjoy the life guys.
TAKE YOUR CHANCES

waacheni watoto wasome, jeangkuwa nafanyiwa mdogo wako ama mwanao ungefurahia?
je huyobinti wa miaka 18 na bado anategemea wazazi ama walezi si mtoto? ila hilo sio shida shida ni kumvurugia masomo na nio maan wengi wanabeba mimba vyuoni na hivyo kuathiri usomaji wao!!! swali mwanao yuko chuo ama mdogo wako anakwambia nina mtoto na bado anasoma wewe ndiye unatoa mahitaji maana magu na ndali mikopo hakuna how wil they feel?Duuhhh kazi kweli kweli. Kumbe Hata vyuoni Kuna watoto.

nikajua Mbuga za wanyama, nije kutaliiiImekua ni mazoea kila mchana mda wa lunch break kazini kupata lunch pale maeneo ya mzumbe tawi la Mbeya,
wengi watakubaliana na mimi ile sehem ni Mbuga maana kila mnyama unaetamani kumona yupo, Yani pana sample za aina zote na uzuri vitoto vya pale ni 19 - 23 fresh from secondary, kila type ipo pale warefu, weusi, waliojaza, flatscreen ,n.k, Uzuri ni kwamba wengi wale mwaka wa kwanza wanakuaga bado hawajakomaa ulimwengu wa mapenzi.
Gia za kuwaendea hawa watoto ni simple sana we waambie tu umehitimu pale last year na umeajiriwa then kesho yake mpelekee ua na mafuta wa nywele chumbani mvishe shanga za kiunoni..KWISHA MCHEZO, Watoto wa pale sio ka wale malaya wa carnival, hawa watoto ni so descent ambao bado wanaamini true love za secondar, Maisha ni mafupi so enjoy the life guys.
MSISAHAU MIPIRA.