Mzumbe dons in PhD scam

California Miramar University (CMU) is an unaccredited proprietary institution of higher education located in San Diego, California. From 1977 to 2007 it was known as Pacific Western University of California (PWU). Pacific Western University was also the name of a now defunct university in Hawaii (Pacific Western University (Hawaii)).

California Miramar University is not accredited by any higher education accreditation agency recognized by the U.S. Department of Education or the Council for Higher Education Accreditation (agencies that recognize the accepted higher education accreditors in the United States).

As such, its degrees may not be acceptable to employers or other institutions. In some jurisdictions the use of degree titles from the university may be restricted or illegal.

Hii ni kwa mujibu wa wikipedia: California Miramar University - Wikipedia, the free encyclopedia

Kama taarifa zipo wazi namna hii, basi hawa waliopata hizi PhD feki walijua kinachofanyika si bahati mbaya.
 
Moses M.D. Warioba DPA (IDM), Dip. Publ. Sect. Mgt (Aston), MBIM- (London), M.Sc. Publ. Sec. Mgt (Birmingham), Ph.D. (Public Admin.) PWU, (USA)

Mzumbe University - Vice-Chancellor Prof. Moses M D Warioba
P O Box 1
MZUMBE, Morogoro, Tanzania

Tel: (255 23) 260 4253, 260 4381/3/4
Tel: Res. (255 23) 260 3756
Mobile: 255 744 834 344, 748 395 098
Fax: (255 23) 260 4382
E-mail: mdmhonwa@hotmail.com, idm@hotmail.com
 
2. Leonard .J. Shio B.A (Ed) Hons. (UDSM.), M.A. (Econ. Dev.) (UDSM), Ph.D(Management) PWU, (USA)

DIRECTOR OF INSTITUTES
Institute of Development Studies
Prof. Leonard J. Shio
P.O. Box 83, Mzumbe
Tel.255 023 260 4380/1/3/4
Fax 255 023 260 4382
E-mail: ids@mzumbe.ac.tz
 
Nasikia hao jamaa walipewa na chuo pesa kwa ajili ya kusomea PhD, lakini wao wakatafuta njia ya mkato. Habari nilizozipata, sasa hivi hao wote wamesharudi chuo wengi wa South Africa, kwa ajili ya PhD ya ukweli.
 
QUOTE=Koba;374259]....huna idea unaongea nini,sijui hata kama umesoma wewe maana mtu aliyesoma hawezi kuandika upuuzi ulioandika hapo juu,huna fact yeyote zaidi ya majungu na story za mtaani tuu,hizo Phd nane za western Pacific sio mali ya mzumbe na hazitolewi na Mzumbe na hata ukiangalia waliokuwa nazo sio vilaza ni graduate wa UD or respected western graduate schools kwa hiyo inawezekana nao waliingizwa kenge tuu kwenye Phds maana hata US wengi wameingizwa kenge vile vile na wengine sio walimu tena hapo,mzumbe ina zaidi ya lecturer/senior/Drs/profs zaidi ya 200 na wengi wamesoma katika vyuo ambavyo kwa wengi ni ndoto na kukusaidia angalia prospectus upate facts maana hakuna cha kuficha,na nani alikuambia Masters after advanced diploma ni inferior? na ulivyo kilaza unaleta connection ya migomo na ubora wa chuo...hilo la thesis nakuachia wewe maana ni aibu kwa wengi waliosoma vyuo vya nyumbani na mmojawapo inawezekana ni wewe kwa maelezo yako ya hapo juu[/QUOTE]


Uhitaji kubishana na mtu. Hoja inajibiwa kwa hoja wala si matusi. Vitu vipo wazi kabisa. Hakuna msomi aliyeingizwa mitini kusomea shahada hizo feki (websites za vyuo hivyo zipo very clear), na kwamba masters acquired based on advanced diplomas hazitambuliwi kitaaluma na hivi mwenye nayo hapaswi kuwa mwalimu chuo kikuu TZ. Soma tangazo la mwaka wa jana la TCU lililotangazwa na Nkunya. Na kwamba copying and pasting imekithiri MU(ukitaka tutatundika hapa copied- without quotation- and original). Otherwise, mtu asiwake ovyo bali aje na facts. Najua if you are one in the list then these facts hit like a hell! We cannot help you. Just quit academics and find livelihood somewhere else. Your fake PhD or masters may fit there (?) but not in academics. At the universities, we want to train think-tanks who will be able to push the country further in the fast-moving world.
 
Last edited:
This is a bit tricky, Isn't it? From the previous threads I have gone through, some are in support of the so called "fake" Phds from PWU, and some are against that. One person has raised a clearly good argument. That, most of these so called "Dr" with fake Phds are graduates from the best Universities. Yes, they got their Phds from PWU and presumably those Phds are fake. But what about their other qualifications? And whats so fake about the Phds anyway?
 
4. Raphael J.M. Habi ADPA (IDM), M.Sc.(Pers. Mgt) (Aston) (UK), MIPM (U.K.), Dip. T. & D. (Manchester) (UK), Ph.D(Management) PWU, (USA)

Secretary to the Council
Dr.Rafael J.Habi
P.O. Box 1, Mzumbe
Tel. 255 023 360 4380/1/3/4
Fax 255 023 260 4382
E-mail: cs@mzumbe.ac.tz
 

Attachments

  • New Picture (9).bmp
    136.1 KB · Views: 96
Mzumbe University - Vice-Chancellor Prof. Moses M D WariobaP O Box 1
MZUMBE, Morogoro, Tanzania

Tel: (255 23) 260 4253, 260 4381/3/4
Tel: Res. (255 23) 260 3756
Mobile: 255 744 834 344, 748 395 098
Fax: (255 23) 260 4382
E-mail: mdmhonwa@hotmail.com, idm@hotmail.com

Wajemeni ...mmmmh kazi ipo, hata a VC ana PHD feki? Ina maana hawa jamaa wanapoajiriwa vyeti vyao huwa havifanyiwi uchunguzi wandugu?
 
Last edited:
6. Aristarch K. Kiwango B.A. (Soc. Econ Admin) Makerere, M.Sc. (Econ.) Wales, Ph.D. (Econ.) PWU, (USA) PGD. (Project Planning)ISS,The Hague, PGD. (Pop & Dev Plan) ISS, The Hague

Directorate of Strategic Business Development
Dr. Aristarch K. Kiwango
P.O. Box 2, Mzumbe
Tel.255 023 260 4380/1/3/4
Fax 255 023 260 4382
E-mail: dsbd@mzumbe.ac.tz
 
Wana JF,

Ili swala la Phd feki nadhani lina maswali mengi sana.

1. Kama mtu ana Phd, au degree yoyote kwa kufoji that is very wrong. ila

2. Kwa mfano mtu anasema ana PhD, au degree kutoka chuo ambacho hakijawa accredited na board fulani au nchi fulani hapa kuna kasheshe kidogo.

Elimu ya Russia, canada, Japan, n.k kila watu wa nchi hizo wana standard zao. JE SISI WATANZANIA TUNAPOSEMA DEGREE FULANI IKO SHALLOW or whatever tunatumia standard gani??

kuna watu wanasoma Phd Miaka 7, kwingine miaka 4, kwingine miaka 2.5??? are they the same? arent all Drs'

someone help me, at least tungeonyesha uwezo na degree zetu nzuri, tunaosema wanavyuo visivyo na sifa ndio wengi walioendelea, hakina sie wenye vyuo vyenye sifa ndio tunaongoza kwa umaskini??

so kuwa na Phd, lazima uanze na degree ya kwanza, ya pili, ya tatu, who made these regulations, where? and why?? what if someone somewhere will decide to have their own ways??
 
Mzumbe University - Vice-Chancellor Prof. Moses M D Warioba
P O Box 1
MZUMBE, Morogoro, Tanzania

Tel: (255 23) 260 4253, 260 4381/3/4
Tel: Res. (255 23) 260 3756
Mobile: 255 744 834 344, 748 395 098
Fax: (255 23) 260 4382
E-mail: mdmhonwa@hotmail.com, idm@hotmail.com

Unategemea nini hapo! Vidiploma na online PhD! halafu eti alikuwa VC!! How could he manage to give the university a take-off (during his days in office) !?! Anyway, miujiza inatokea. But, should we rely on miracles na bahati nasibu!?!
 
Wana JF,

Ili swala la Phd feki nadhani lina maswali mengi sana.

1. Kama mtu ana Phd, au degree yeyote kwa kufoji that is ver wrong. ila

2. Kwa mfano mtu anasema ana PhD, au degree kutoka chuo ambaco hakijawa accredited na bord fulani au nchi fulani hapa kuna kassheshe kidogo.

Elimu ya Russia, canada, Japan, n.k kila watu wa nchi hizo wana standard zao. JE SISI WATANZANIA TUNAPOSEMA DEGREE FULANI IKO SHALLOW or whatever tunatumia standard gani??

kuna watu wanasoma Phd Miaka 7, kwingine miaka 4, kwingine miaka 2.5??? are they the same? arent all Drs'

someone help me, at least tungeonyesha uwezo na degree zetu nzuri, tunaosema wanavyuo visivyo na sifa ndio wengi walioendelea, hakina sie wenye vyuo vyenye sifa ndio tunaongoza kwa umaskini??

so kuwa na Phd, lazima uanze na degree ya kwanza, ya pili, ya tatu, who made these regulations, where? and why?? what if someone somewhere will decide to have their own ways??

I guess we share the same sentiment Waberoya. I have asked the same questions but in a brief way. Whats so fake about the Phds? Is it only because the Uni is not accredited? Is it because these accused individuals did not do their thesis at all?
 
....huna idea unaongea nini,sijui hata kama umesoma wewe maana mtu aliyesoma hawezi kuandika upuuzi ulioandika hapo juu,huna fact yeyote zaidi ya majungu na story za mtaani tuu,hizo Phd nane za western Pacific sio mali ya mzumbe na hazitolewi na Mzumbe na hata ukiangalia waliokuwa nazo sio vilaza ni graduate wa UD or respected western graduate schools kwa hiyo inawezekana nao waliingizwa kenge tuu kwenye Phds maana hata US wengi wameingizwa kenge vile vile na wengine sio walimu tena hapo,mzumbe ina zaidi ya lecturer/senior/Drs/profs zaidi ya 200 na wengi wamesoma katika vyuo ambavyo kwa wengi ni ndoto na kukusaidia angalia prospectus upate facts maana hakuna cha kuficha,na nani alikuambia Masters after advanced diploma ni inferior? na ulivyo kilaza unaleta connection ya migomo na ubora wa chuo...hilo la thesis nakuachia wewe maana ni aibu kwa wengi waliosoma vyuo vya nyumbani na mmojawapo inawezekana ni wewe kwa maelezo yako ya hapo juu

Bwana Koba hujajibu kwa nini Mzumbe kuna lecturers vihiyo, na kwamba hawa vihiyo wana First degrees za UD haihalalishi kuajiriwa kama Vihiyo hapo Mzumba.Inaelekea kuna weakness kubwa sana hapo Mzumbe kutambua Academic Exellence kwa Lecturers wake.
Hata hivyo doa hili linathibitisha mashaka ya wengi kuwa MU is just another polytechnic isiyo weza kupata hadhi ya University.
 
......Hii hadithi haijaanza leo. Nimekumbuka kuna usemi usemao.....wacha waseme mchana usiku watalala.......Mzumbe tunaongoza kwa ubora wa elimu. Asiyetaka shauri yake, ajinyonge.
 
Mkuu Invisible, haya wakongwe tuliyaona toka mwaka gani vile?

Na tukasema, MU ni FEKI kikweli na VC wao alikuwa FEKI wakati huo..

Akaja NUNGWI ....

Nungwi upo wapi?

........akishirikiana na MUSHOBOZI..........naye sijui yuko wapi.......
 
Bora nibaki na degree moja niliyoipata kwa shida ya kulala watu 6 chumba cha watu wawili Hall 5, LAKINI DEGREE YA UKWELI !! he he hee... at least i have my dignity !! Shame on these people !! Nikionana nao ,nitawasalimu "habari za PWU bwana ? "
 
Mzumbe University is one of the weak University na hata ukiangalia wanafunzi weng ambao wamesoma Mzumbe wengi wao huwa incompetent.They have good Grades ila in terms of delivering is an Issue!

Kama Waziri Maghemebe anataka apwe Heshima aanze kuzinyoa hizi Ph.D feki na watu warudi Shule,Na naomba asiishie hapo aende mbele zaidi na kuangalia Ph.D za wabunge na viongzoi mbali mbali.

To mention but a few

1.Dr. Makongoro Mahanga
2.Dr. Nchimbi
3.Dr. Mary Nagu

the list goes on..Hivi hapa Jf kwanini tusianze kutoa Honary degree?Naamini tutakuwa na watu kama hawa

Dr. M.M Mwanakijiji
Dr. Gembe
Dr.FMES
Dr. Kichuguu


The list goes on
 
na kwamba masters acquired based on advanced diplomas hazitambuliwi kitaaluma na hivi mwenye nayo hapaswi kuwa mwalimu chuo kikuu TZ. Soma tangazo la mwaka wa jana la TCU lililotangazwa na Nkunya. .

....idiotic and most ridiculous thing i have ever heard!
 
Back
Top Bottom