Mzuka wa jf umepungua

Mzuka wa jf umepungua

au wahusika waanze kuwa wanawaacknoledge watoa mada adhimu kwa chochote kitu wale wa zamani na wanaochipukia
 
Nashauri wenye jf wawe wanatoa weekly acknowledgement kwa the best writer, kwa kuangalia vigezo vyao. Hii itasaidia watu kupandisha nyuzi fikirishi, hata kama ni za misuguano.
 
Back
Top Bottom