mzuka si mchezo!

Rebel volcano

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2012
Posts
403
Reaction score
86
hapo yani tembo jike kalitamanisha dume mpaka likapandwa na mzuka wakati wa kazi!!
 

Attachments

  • 598938_285840874859567_1701218960_n.jpg
    57.3 KB · Views: 692
Mh hizii hisia za ajabu kweli

Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
 
kaaa umenichekesha, hao watu waliokaa nyuma lazima wapige chini,
 
hahaa kweli hiyo kitu haina simile tembo mzux umempanda kasahau km ana abiria. Dah tunda noma jamani
 
Khaaaaaaa

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Inabidi hapo tembo dume ndo atangulie mbele, naona anavyotembea anaona mashine mbele yake ndo maana anashindwa kuvumilia
 
Hata maofisini hizi zipo.....Kazi na dawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…