MziziMkavu huu ndo uchawi

Nzuri nimeipenda sana hahahahahah
huwa najiuliza ni uchawi au nini,maana utaona watu wengine watafanya utafiti alifanyaje na hawaamini uchawi,kwa mfano video ya Dynamo kutembea juu ya maji bila kuzama...watu wamedadisi kumbe jamaa kulikuwa na kioo ndani ya maji anatembea juu yake,hata ukiangalia huwezi kugundua
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…