Mkuu
Bujibuji Watu huwa wanasafishwa nyota sio kwa kuwa mwili uko uchi. Unavua nguo unavalishwa shuka nyeupe sio kuwa mwili uchi namna hiyo huyu atakuwa ni mganga wa Mitishamba au sio
MGANGA WA KIENYEJI?bibie
Binti.com ningelikuwepo Dar ningelikupa Contact zangu lakini nipo Majuu Ughaibuni samahani jaribu tafuta shuka nyeupe na upate maji kutoka ya Bahari uoge nyumbani kwako kwa muda wa siku 7 unapojimwagia hayo maji ya bahri maji kutoka uwe unanuia shida zako basi hata kama hujaolewa utaolewa inshallah nuksi zote zitakuondoka. Fanya hivyo kwa muda siku saba anzia jumapili asubuhi linapochomoza jua saa moja asubuhi kama ni mwanamme uanze siku ya alkhamisi saa moja asubuhi kama huna kazi utapata kazi fanya hivyo kisha unipe Feedback.