Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,992
- 168,528
Nami nahitaji hiyo huduma ya kusafishiwa nyota, je mzizi mkavu anaitolea wapi? Naomba address yake tafadhali
jamani kwa mwendo huo si unaweza kupewa mimba na mganga??
Huyo mwembamba na kufuri jeusi ni kama amepelekwa na huyo shoga yake kwani anaonesha wasiwasi vile.
hapa ni kama vile aliwaambia..."vuaaaaaaaaaaaaaaa" nao wakatii
Mkuu Bujibuji Watu huwa wanasafishwa nyota sio kwa kuwa mwili uko uchi. Unavua nguo unavalishwa shuka nyeupe sio kuwa mwili uchi namna hiyo huyu atakuwa ni mganga wa Mitishamba au sio MGANGA WA KIENYEJI?
bibie Binti.com ningelikuwepo Dar ningelikupa Contact zangu lakini nipo Majuu Ughaibuni samahani jaribu tafuta shukaNami nahitaji hiyo huduma ya kusafishiwa nyota, je mzizi mkavu anaitolea wapi? Naomba address yake tafadhali