Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,342
- 33,172
Kupendwa ni bahati ukipendwa na wewe upendeke ama sivyo bibie afrodenzi?mmhh BAK hivi kumbe bado unafanya kazi ya U DJ???
unajua wavyosema kuhusu ma DJ...............................??
MziziMkavu changamka ndugu yangu mwana kesha data sjui ulimpa mzizi wa mti upi....
Hahahahaha lol! Rubani...Mie sijawahi kuwa DJ banaaa...Ila muziki mhhhh! naupenda sana kusema kweli...Natumai kibaridi kimeacha kukunyanyasa.
ninakumbuka ile Birthday ya kwangu ulivyonipambia yale mauwa sitokusahau bibie :A S 11: Mkuu afrodenziBday ya nani tena mpendwa??
ahh nipo mbali na Mrembo neema laiti ningelikuwa karibu mambo yangelikuwa ni poa Bibie afrodenziunanipaga raha kwa kweli na hii mziki ..
kibaridi kimeachia ile upepo balaa..
sasa nadhani huko ndo kibaridi kimeanza ama bado bado??
em wa tumbuize Neema & MziziMkavu nataka kuona jitihada za bi mrembo zinazaa matunda ..
unanipaga raha kwa kweli na hii mziki ..
kibaridi kimeachia ile upepo balaa..
sasa nadhani huko ndo kibaridi kimeanza ama bado bado??
em wa tumbuize Neema & MziziMkavu nataka kuona jitihada za bi mrembo zinazaa matunda ..
Au watu ndio wameshaniibia?Vipi tena mkuu afrodenzi atanitafutia inshallah........................Mkuu BAKHuku mfaranyaki bado hali ya hewa ni joto la kutosha tu...Naona labda ndiyo ile global warming inafanya vitu vyake....Binti sijui kakimbilia wapi tena. Kazuka hapa kumtia mashamsham MziziMkavu halafu kasepa moja kwa moja!!!
Unamkumbuka mtu aliye kufanyia wema sişo fujo mkuu BAK...Umeanza fujo zako MziziMkavu lol! huko aliko Afrodenzi vicheko mtindo mmoja
Dont worry about a thing,
oa...Keep on waiting...Goodluck and all the best.