The secretary, muambie boss MziziMkavu aje haraka, kuna mgonjwa kazidiwa. Nshaanza kuandaa yungiyungi na kwato za ng'ombe za kuroast
Nimekuja bibie kipenzi mwaga habari . Neematwende hukuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu:busu:busu:busu:busu:busu:busu
Ahhh umeshaanza kumtibu? umekuwa Msaidizi wangu wewe King'astiThe secretary, muambie boss MziziMkavu aje haraka, kuna mgonjwa kazidiwa. Nshaanza kuandaa yungiyungi na kwato za ng'ombe za kuroast
Hujalewa au hujaelewa Mkuu? Acha Nisemepeke yangu ndo cjaelewa, ama?
Nimeupenda Muziki wa mapenzi kumbe Mkuu BAK na wewe umo kumbe kwenye bahari ya mapenzi?
LoL! umenikumbukusha MV mapenzi meli ya wapendanao
Huu Neema banaa!!!
mmhh BAK hivi kumbe bado unafanya kazi ya U DJ???
unajua wavyosema kuhusu ma DJ............................ ...??
MziziMkavu changamka ndugu yangu mwana kesha data sjui ulimpa mzizi wa mti upi....