Luteni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2010
- 2,274
- 302
Mwanasiasa mkongwe na kada wa CCM, Chrisant Mzindakaya amekitaka chama cha Mapinduzi CCM kujibu hoja za Chadema kwa kuwatumia viongozi wa mikoa ambayo Chadema wanafanya mikutano badala ya kumsubiri Waziri Mkuu au rais kujibu hoja.
Viongozi wa CCM katika mikoa ambayo Chadema wanapita na kutoa hoja zao, wajibu kwa kuponda hoja hizo ili wananchi waelewe hali halisi na siyo kumsubiri Waziri Mkuu au Rais kujibu hoja, alisema Mzindakaya.
Amehoji iweje Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM (NEC) kuwa kimya muda wote kama iko likizo na kuiachia Serikali kazi ya kisiasa hasa katika kipindi hiki?
Source: HabariLeo