Mzimu wa mwanamke unavyonitesa

Jogoo haliwiki?
 
Sasa hivi, unamkumbuka baada ya kupitia magumu kwenye mapenzi. Ndiyo kujuta kwenyewe huko mpk unamuomba msamaha. Najua hukumpenda ila kitendo cha kuhonga sweta lake lazima ikitafune. Ukihongwa, hifadhi kitu hicho hata km hutaki kukitumia. Siku unarudi nyumbani, unampa ndugu yako.
Ukiishi na mwanamke ambaye humpendi, una enjoy sana maisha.
Majuto ni mjukuu japo sijawahi jutia maamuzi yangu (haijalishi nipo sahihi ama la).
 
Km ulikua humpendi
Pesa zake ulipokea za nini
Kwanini ulimdanganya unampenda
Na tunda ukala au hukula?

Hicho ndio kinakutafuna

Humpendi mtu mkatae na vitu vyake kataa na uchi ukatae vilevile
Usimtumie
Niliogopa kumuumiza kwa muda ule but sio kwamba hata nilimtegemea sana kipesa bali alikuwa anatoa tu mwenyew
 
Mrudie Bwana Mungu wako, ukiwa na mahusiano mazuri na Mungu wako hutaona hayo.
 
Wala sijakuambia utafute dini, nimekuambia umtafute Mungu

Na kama unaamini uwepo wake Mwenyezi Mungu zitafute nguvu zake
Hili la kuamini DINI badala ya MUNGU linasumbua watu wengi...
 
Hili la kuamini DINI badala ya MUNGU linasumbua watu wengi...

Uvivu wa kuishi huku tukitimiza maagizo ya Mungu ndio unasabibisha watu wang'ang'ane na dini badala ya Mungu

Kwa Mungu ni wewe na matendo yako.

Padre, mchungaji, askofu, shehe, nabii na mtume watakusaidia kupata mafundisho ila usipoyaishi hufiki kule
 
Naomba namba za huyo dada anipeleke alipoenda Kuna kenge nataka nimfundishe adabu..πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…