Donatila
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 8,247
- 25,191
Kulogwa...Kipapai ndio nini mrembo
Kulogwa...Kipapai ndio nini mrembo
☹️☹️☹️Kulogwa...
Naomba namba za huyo dada anipeleke alipoenda Kuna kenge nataka nimfundishe adabu..😂😂
Nakufanyia vizuri Sana ..alafu tuone unachoringiaUsinifanyie hivyo
Hahaaa....jibu sahihi kabisa.Kula maisha ww unajisuta sana kiufupi unajiteka mwenyewe
Shukrani 🙏Usije kubali kuingia kwenye utumwa wa kifikra, we fanya Kazi kwa bidii
Duh hatari sana, nimekumbuka enzi zilee kipindi nipo Duniani🤣🤣🤣Naanza kwa masikitiko kuelezea kisa nilichikumbana nacho wakati nasoma pale chuo kikuu cha Dodoma (Udom).
Kuna mwanamke(msichana) tokea Tanga wilaya fulani hivi naihifadhi alitokea kunipenda sana, hivyo hakusita kuanza kunifanyia visa na viashiria mbalimbali Ili nimtongoze lakini kwa bahati mbaya sikufanya hivyo.
Alikuwa ananijali sana coz nakumbuka kuna kipindi wakati tumefungua chuo nilishindwa kurudi kwa wakati kwa sababu nilikuwa naumwa, nilivuta kama wiki 3½ hivi ndipo nikaenda chuoni sasa, kutokana na ugumu wa masuala ya ruhusa nk ambayo sikutaka sana coz nilihisi kama ningeambiwa niahirishe mwaka hivyo sikuomba ruhusa yoyote official isipokuwa nilitoa taarifa kwa mkuu wangu wa department.
Kipindi hicho chote, yule mwanamke alikuwa akinifanyia quiz mbalimbali zilizokuwa zinafanyika darasani pia alikuwa akinitumia hela ya matumizi. Baadae ikabidi aniambie ukweli kama ananipenda sana na nimpe jibu kama nipo tayari kuwa naye ama la but nisimwambie mtu yeyote.
Ili kukwepa kumuumiza ilibidi nikubali kwamba nampenda sana pia lkn kiuhalisia sikuwah kumpenda kimapenzi.
Tulikaa hivyo baadae nikapata nafuu nikarudi shule lkn tofauti na alivyotegemea sikuwa nikimjali kabisa wala kuonesha thamani yoyote kwangu.
Alivumilia kunutafuta, kunifuata nilipo nk but baadae ali give up, akaamua kuachana na mimi lkn akawa na chuki kubwa sana moyoni mwake dhidi yangu haswa akikumbuka matukio mbalimbali ambayo niliwahi kunifanyia likiwepo la kuhonga sweta lake alilonipa kwa msichana mwingine then nikasingizia limepigwa, hakumaind ila siku akaja kuliona kwa msichana ambaye alikuwa akiniona nae mara moja moja, alikasirika sana sana na akanitolea maneno makali sana.
Tulimaliza chuo maisha yakaendelea lkn mzimu wake ni kama unanitesa vibaya sana, juzi niliamua kumpigia simu na kumuomba msamaha kwa yote nilomkosea akaahidi alishanisamehe na sijawahi kumuudhi isipokuwa kwa lile tukio la kuhonga sweta lake tu.
NB: kuna mambo naona hayaendi sawa haswa upande wa mahusiano ndio maana nimeamua kuandika haya
#unayempendaHakupendiUsiyempendaAnakupenda🏃🏃🏃
Toa story kdgDuh hatari sana, nimekumbuka enzi zilee kipindi nipo Duniani🤣🤣🤣
Jamani jamani nimeguswa na io paragraph ya mwisho khaaWapo watu. Huja katika maisha yetu mara moja tu. Wanakuwa wema sana. Wapendeka mno. Wana utu na ubinadamu. Hawana ajenda yo yote. Wanatujali sana bila kujali hali zetu. Wapenzi wa kweli. Wenza wetu halisi....
Lakini mara kwa mara watu hawa hutukuta tungali hatujakomaa kimitazamo na kimalimwengu nasi huishia kuwaumiza tu. Nao bila kuaga haooo hufunga virago vyao na kuondoka kimya kimya huku nyuma wakituachia mateso ya hisia na kumbukumbuku zenye kuumiza sana.
Cha kufanya pengine ni kujaribu kuiga upendo wao kwa wengine huko japo ni shida tupu kwa sababu tukishaachana nao mara nyingi tunaishia kupenda tusipopendwa. Ni Karma. Ni mateso....
Nisamehe mshikaji chuma changu cha Mjerumani. Nimekuumiza sana. Nimekutesa mno. Lakini tambua kuwa moyo huu ni uwanja wako...na unakaribishwa kuja kuchezamo mchezo wo wote uupendao na wakati wo wote uutakao. Na bila masharti yo yote. You are eternally loved BY ME !!!![]()


Mnakuzushia tu Tanga...kuna watu wanga kama Dar es salaam?Ushapigwa kipapai...
Huko Tanga ndo kwenyewe...
Labda hatujaelewana pahali, ukisema "hizi dini" unamaanisha nini.Nimepigwa mie ama wewe, Mungu yupo ila hizi dini sina imani nazo![]()
Namaanisha 'how our dini is being organized' ndio sikubaliLabda hatujaelewana pahali, ukisema "hizi dini" unamaanisha nini.
Jesus is Savior