Mzimu wa mwanamke unavyonitesa

Mzimu wa mwanamke unavyonitesa

Naanza kwa masikitiko kuelezea kisa nilichikumbana nacho wakati nasoma pale chuo kikuu cha Dodoma (Udom).

Kuna mwanamke(msichana) tokea Tanga wilaya fulani hivi naihifadhi alitokea kunipenda sana, hivyo hakusita kuanza kunifanyia visa na viashiria mbalimbali Ili nimtongoze lakini kwa bahati mbaya sikufanya hivyo.

Alikuwa ananijali sana coz nakumbuka kuna kipindi wakati tumefungua chuo nilishindwa kurudi kwa wakati kwa sababu nilikuwa naumwa, nilivuta kama wiki 3½ hivi ndipo nikaenda chuoni sasa, kutokana na ugumu wa masuala ya ruhusa nk ambayo sikutaka sana coz nilihisi kama ningeambiwa niahirishe mwaka hivyo sikuomba ruhusa yoyote official isipokuwa nilitoa taarifa kwa mkuu wangu wa department.

Kipindi hicho chote, yule mwanamke alikuwa akinifanyia quiz mbalimbali zilizokuwa zinafanyika darasani pia alikuwa akinitumia hela ya matumizi. Baadae ikabidi aniambie ukweli kama ananipenda sana na nimpe jibu kama nipo tayari kuwa naye ama la but nisimwambie mtu yeyote.

Ili kukwepa kumuumiza ilibidi nikubali kwamba nampenda sana pia lkn kiuhalisia sikuwah kumpenda kimapenzi.
Tulikaa hivyo baadae nikapata nafuu nikarudi shule lkn tofauti na alivyotegemea sikuwa nikimjali kabisa wala kuonesha thamani yoyote kwangu.

Alivumilia kunutafuta, kunifuata nilipo nk but baadae ali give up, akaamua kuachana na mimi lkn akawa na chuki kubwa sana moyoni mwake dhidi yangu haswa akikumbuka matukio mablimbali ambayo niliwahi kunifanyia likiwepo la kuhonga sweta lake alilonipa kwa msichana mwingine then nikasingizia limepigwa, hakumaind ila siku akaja kuliona kwa msichana ambaye alikuwa akiniona nae mara moja moja, alikasirika sana sana na akanitolea maneno makali sana.

Tulimaliza uni maisha yakaendelea lkn mzimu wake ni kama unanitesa vibaya sana, juzi niliamua kumpigia simu na kumuomba msamaha kwa yote nilomkosea akaahidi alishanisamehe na sijawahi kumuudhi isipokuwa kwa lile tukio la kuhonga sweta lake tu.

NB: kuna mambo naona hayaendi sawa haswa upande wa mahusiano ndio maana nimeamua kuandika haya

#unayempendaHakupendiUsiyempendaAnakupenda🏃🏃🏃
Jogoo haliwiki?
 
Sasa hivi, unamkumbuka baada ya kupitia magumu kwenye mapenzi. Ndiyo kujuta kwenyewe huko mpk unamuomba msamaha. Najua hukumpenda ila kitendo cha kuhonga sweta lake lazima ikitafune. Ukihongwa, hifadhi kitu hicho hata km hutaki kukitumia. Siku unarudi nyumbani, unampa ndugu yako.
Ukiishi na mwanamke ambaye humpendi, una enjoy sana maisha.
Majuto ni mjukuu japo sijawahi jutia maamuzi yangu (haijalishi nipo sahihi ama la).
 
Km ulikua humpendi
Pesa zake ulipokea za nini
Kwanini ulimdanganya unampenda
Na tunda ukala au hukula?

Hicho ndio kinakutafuna

Humpendi mtu mkatae na vitu vyake kataa na uchi ukatae vilevile
Usimtumie
Niliogopa kumuumiza kwa muda ule but sio kwamba hata nilimtegemea sana kipesa bali alikuwa anatoa tu mwenyew
 
Naanza kwa masikitiko kuelezea kisa nilichikumbana nacho wakati nasoma pale chuo kikuu cha Dodoma (Udom).

Kuna mwanamke(msichana) tokea Tanga wilaya fulani hivi naihifadhi alitokea kunipenda sana, hivyo hakusita kuanza kunifanyia visa na viashiria mbalimbali Ili nimtongoze lakini kwa bahati mbaya sikufanya hivyo.

Alikuwa ananijali sana coz nakumbuka kuna kipindi wakati tumefungua chuo nilishindwa kurudi kwa wakati kwa sababu nilikuwa naumwa, nilivuta kama wiki 3½ hivi ndipo nikaenda chuoni sasa, kutokana na ugumu wa masuala ya ruhusa nk ambayo sikutaka sana coz nilihisi kama ningeambiwa niahirishe mwaka hivyo sikuomba ruhusa yoyote official isipokuwa nilitoa taarifa kwa mkuu wangu wa department.

Kipindi hicho chote, yule mwanamke alikuwa akinifanyia quiz mbalimbali zilizokuwa zinafanyika darasani pia alikuwa akinitumia hela ya matumizi. Baadae ikabidi aniambie ukweli kama ananipenda sana na nimpe jibu kama nipo tayari kuwa naye ama la but nisimwambie mtu yeyote.

Ili kukwepa kumuumiza ilibidi nikubali kwamba nampenda sana pia lkn kiuhalisia sikuwah kumpenda kimapenzi.
Tulikaa hivyo baadae nikapata nafuu nikarudi shule lkn tofauti na alivyotegemea sikuwa nikimjali kabisa wala kuonesha thamani yoyote kwangu.

Alivumilia kunutafuta, kunifuata nilipo nk but baadae ali give up, akaamua kuachana na mimi lkn akawa na chuki kubwa sana moyoni mwake dhidi yangu haswa akikumbuka matukio mablimbali ambayo niliwahi kunifanyia likiwepo la kuhonga sweta lake alilonipa kwa msichana mwingine then nikasingizia limepigwa, hakumaind ila siku akaja kuliona kwa msichana ambaye alikuwa akiniona nae mara moja moja, alikasirika sana sana na akanitolea maneno makali sana.

Tulimaliza uni maisha yakaendelea lkn mzimu wake ni kama unanitesa vibaya sana, juzi niliamua kumpigia simu na kumuomba msamaha kwa yote nilomkosea akaahidi alishanisamehe na sijawahi kumuudhi isipokuwa kwa lile tukio la kuhonga sweta lake tu.

NB: kuna mambo naona hayaendi sawa haswa upande wa mahusiano ndio maana nimeamua kuandika haya

#unayempendaHakupendiUsiyempendaAnakupenda🏃🏃🏃
Mrudie Bwana Mungu wako, ukiwa na mahusiano mazuri na Mungu wako hutaona hayo.
 
Wala sijakuambia utafute dini, nimekuambia umtafute Mungu

Na kama unaamini uwepo wake Mwenyezi Mungu zitafute nguvu zake
Hili la kuamini DINI badala ya MUNGU linasumbua watu wengi...
 
Uvivu wa kuishi huku tukitimiza maagizo ya Mungu ndio unasabibisha watu wang'ang'ane na dini badala ya Mungu

Kwa Mungu ni wewe na matendo yako.

Padre, mchungaji, askofu, shehe, nabii na mtume watakusaidia kupata mafundisho ila usipoyaishi hufiki kule
 
Naomba namba za huyo dada anipeleke alipoenda Kuna kenge nataka nimfundishe adabu..😂😂
 
Back
Top Bottom