Mzimu wa kutendwa unaniandama

Mzimu wa kutendwa unaniandama

Habarini wakuu wa jukwaa,
sitaki kupoteza muda tena nimeamua kuishi peke yangu na siitaji uhusiano na mtu yeyote,, Natumai utakuwa umenielewa Kevi!!!! Kisha akanikatia simu hii ndio kauli aliyoniambia mpenzi wangu nilipompigia simu usiku ili kumtakia usiku mwema.

Maskini Kevi mimi kauli ya huyu mrembo haikuwa geni sana kwangu kwani ni miezi michache tu imepita tokea nimwagwe na mrembo wa chuo niliyejitahidi kufungua pochi mpaka nikaitwa lofa wa malovido na mkasa huu ulitokea baada ya kumwambia kua pesa unayoomba sina ila nina kiasi kidogo kama laki 2 ambacho nilitarajia kununulia stand ya TV lakini kwa kuwa nakupenda nitakutumia mpenzi wangu akanijibu Asante darling mwaaaaah.

Nakumbuka baada ya kwenda tigo pesa nakumtumia 195,000/ akanijibu bby mbona haijafika laki 2 nikamwambia 5,000 nimeibakiza katika accounti yangu. Akanijibu sitaki kupoteza muda tena nimeamua kuishi peke yangu na siitaji uhusiano na mtu yeyote Kevi Mungu akupe nguvu katika maisha yako ufanikiwe mpaka ushangae, Nakuomba usinisumbue tafadhali. Nilihisi kuchoka gafla nikahisi kama mapigo ya moyo yanashuka na malaika mtoa roho ananinyemelea. Sijui kwa nini ile hali ilinitokea kwa sababu laki 2 haikuwa kiwango kikubwa sana cha pesa kunisumbua mimi kiasi kilee.

Uhusianao wa nyuma sitaki kukumbuka kwa sababu baada ya kumtumia tu mpenzi wangu pesa ya kusuka aliniomba nimtumie pia na pesa ya nauli nayo nilituma. Chakushangaza hakupokea tena simu yangu wala kujibu message. Nasikitika sana kwani nilifuta namba yake na hakuwahi kunitafuta tena Maskini kevi mimi.
yaanih nimecheka afu nikakuonea huruma, pole Kevi ndo washakundi ndi
 
U

Umeanza kuhonga ukiwa na umri mdogo sana.
Mkuu kuhonga inatakiwa uanze ukiwa na miaka mingapi?? Mimi sijawahi kuhonga sema nakutana na wenye shida zaidi yangu nawasaidia tu. Au sujui maana ya kuhongaa
 
Duh bwana ametwaa jina lihimidiwe sisi ndo tulivyo kijana Kev never trust any women only your mamu
 
sina hakika kama hao madem wako ulikuwa unasimama shoo kasawa sawa ndo maana wanakukimbia kevi, mwanamke ukiwa unampa dozi za ukweli hata akikuacha atarudi tu au bac hata asiporudi atakuwa anakukumbuka hawawezi kukuacha kwa dharau km hao walivokuwa wanakufanyia. tatzo unatumia pesa kama ngunzo katk mahusiano yako kevi. be care utaendelea kuumizwa sana hawa viumbe kama na ww ni wale wanaume wa kagoli kamoko then unapiga usingiz hadi kesho.
 
mjomba hizo hela wakati huu wa mafuguli unazichota wap aisee mim nikiombwa hata Buku nakuwaza kwanza
 
Jamani pole sana jamaangu nime sikitika sana natamani kulia tafuta wa saizi yako achana nahayo ma dadadu wata kuhuwa mdomana siwatak mie Niko sing tu mpaka nitakapo henda mbinguni nakama nihamu napiga zangu puchu presha za umbri mdogo si zitaki kabisaaaa na nikitaka mtoto nitaowa kilema ndo mpango wangu
 
Inaelekea Kevi unahonga pesa ndefu,ukiwapa pungufu wanadhani umefulia. Aisee pole sana mkuu!
 
Kevi boya sana......unadangaanywa na warwmbibwa humu wanaosena bila pesa no love....hao wako kimaslahi zaidi sio love ....sont fall for that....mapenzi ya dhati hayatengenezwi na pesa bali pesa inatengeneza maisha bora.......we endelea tu uone
 
Back
Top Bottom