Si ungeeka hapa nasi tupate dada angu???Tatizo Kevi unadhani mapenzi ni pesa! Nifate inbox nikupe tips how you should handle a woman and most importantly what qualities you should look from a woman of your future. Ila inaonekana unaangalia sura zaidi na unatumia pesa kama kigezo chakuwavutia wanawake of which is very wrong!

Diamond ft Ney wa MitegoAliyekudanganya kuwa ukiwa unajua kuhonga ndo utakaa na mpenzi ni nani? Pole na jipe moyo utampata size yako atakayekupenda
Tatizo unahonga hela nyingiii ndo maana wanakukimbia kuhonga mwisho buku ten, hiyo laki mbili ni ya kutoa mahari kabisaKuna huu Msemo wa huyu mrembo " Ubarikiwe mpaka ushangae" kisha akanipiga kibuti Mimi ata siuelewagi![]()
![]()
Huyu wa mwisho sikua nmemtumia pesa ana vimbwanga vyake nae vingi ....lakini kakomalia eti Mimi napiga kitwanga sana ata Si kweliiAhhahahaha mkuu nimekusikitikia mpaka nimecheka. Nahuyu naye ulikuwa umemtumia pesa au!??
Hilo jini lako ndo linaitwa chuma ulete kama sikosei. Cc: mshana jr
Hongera mkuu na wewe uwache kuwa na demu wa kuzugia .....Ndio maana wakija kwetu wanatuumiza tena katkati ya rahaaDah kweli hii dunia haijawahi kuwa fair wakati wewe unakimbiwa mimi nang'ang'aniwa mpaka nakosa raha yaani nikichukua dem wa kawaida tu wa kuzugia siku ya kuachana nae kasheshe yaani ataniganda kama ruba mpaka nahofu kuanzisha mahusiano mapya

Sasa utaoa wangapi mkuu, lazima wawepo wa temporaryHongera mkuu na wewe uwache kuwa na demu wa kuzugia .....Ndio maana wakija kwetu wanatuumiza tena katkati ya rahaa![]()


Ata Mimi ndio kwanza nasikia kheeeyesu wangu kumbe ukapigwa chini baada ya kutuma ela daaa asee hi cjawah sikia em tuma picha tukuone huenda unatisha

Tatizo Kevi unadhani mapenzi ni pesa! Nifate inbox nikupe tips how you should handle a woman and most importantly what qualities you should look from a woman of your future. Ila inaonekana unaangalia sura zaidi na unatumia pesa kama kigezo chakuwavutia wanawake of which is very wrong!