Mzimu wa Jangwani

Kwanini kila unachokiona udhani rafikiii??? Hapo mwanzo Mungu alituumba akatuacha uchi huwezi tafisiri alitaka tufanye uzinzi..! What if mimi biologist tena zoologist..![emoji7] your smart eyes only.
Hyo ni Mungu rafiki, huwa anamakusudi yake ktk kila jambo, bt kwako wewe kiumbe wake ukiwe ndani ya avatar ya wanyama wakingonoka, je unalenga kuwapa ujumbe gani viewers wako.?
 
Bado kuna shida kidogo kwenye imani yako na afya ya neno rohoni mwako.... Ukiwa mtu wa kushika na kuishi katika neno ni vigumu mno kutumia maneno kama upuuzi au upupu kwenye mjadala wa kawaida kabisa
 
Duuhhhhh [emoji15] [emoji15] nimeunganisha dots hatareee nimekumbuka zamani watu walikua wanapaogopa sana hasa usiku mweh mweeh now ndio nazinduka.....kwelii upofu wa macho na akili japo naona!!!!
 
Avatar yako inakinzana na maneno yako, waswahili tunakuita ndumilakuwili au popo.
[emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji1] [emoji1] [emoji1] heri umzindue kwa Yesu hizo avatar hazipo.
 
Yaani mie kila nikipita pale huwa napata hisia kuwa kuna maiti nyingi sana zimekwama pale hasa kila kunapokuwa na mvua,ni sehemu ambayo inasisimua mnoo na sio ya kawaida,harufu nzitoo ambayo nadhani kuna mchanganyiko wa uchafu na miili iliyoharibika.
 
Kwanini kila unachokiona udhani rafikiii??? Hapo mwanzo Mungu alituumba akatuacha uchi huwezi tafisiri alitaka tufanye uzinzi..! What if mimi biologist tena zoologist..![emoji7] your smart eyes only.
Hao simba wanalalana.
Hiyo haipo powa mtumishi.
 
Mpaka Sasa sijaweza kudraw conclusions about Jangwani. Hebu nisaidieni
 
hii mada manjano inawahusu wahamishe makao yao tu vinginevyo kasi ya mtando itapanda 5G
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…