Wilbert1974 JF-Expert Member Joined Feb 10, 2011 Posts 1,632 Reaction score 481 Mar 2, 2014 #1 Ni ubahiri au kitu gani...
S SURUMA JF-Expert Member Joined Mar 22, 2011 Posts 2,892 Reaction score 1,068 Mar 2, 2014 #2 Usichanganye kazi na nafsi!!!! Mbona kuna mafundi fenicha wanakalia mikeka majumbani kwao??
NAPITA JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 5,077 Reaction score 2,250 Mar 2, 2014 #3 Hiyo ni kazi yake na hayo mengine ni maisha yake ndivyo alivyoona inafaa akili anayo ndo maana anajishugulisha na biashara hiyo.
Hiyo ni kazi yake na hayo mengine ni maisha yake ndivyo alivyoona inafaa akili anayo ndo maana anajishugulisha na biashara hiyo.
N Ngekewa JF-Expert Member Joined Jul 8, 2008 Posts 7,705 Reaction score 1,288 Mar 2, 2014 #4 Wilbert1974 said: View attachment 142457 Ni ubahiri au kitu gani... Click to expand... Miguu inakubali bila viatu lakini tumbo halikubali hivyo bora tumbo lisipingwe!
Wilbert1974 said: View attachment 142457 Ni ubahiri au kitu gani... Click to expand... Miguu inakubali bila viatu lakini tumbo halikubali hivyo bora tumbo lisipingwe!
GOOGLE JF-Expert Member Joined Oct 29, 2012 Posts 1,889 Reaction score 1,127 Mar 2, 2014 #5 Wilbert1974 said: View attachment 142457 Click to expand...
Jaslaws JF-Expert Member Joined May 31, 2011 Posts 6,016 Reaction score 5,301 Mar 2, 2014 #6 Huyu nazani hajawai kumuona kinyozi mwenye rasta
Slim5 JF-Expert Member Joined Jan 7, 2014 Posts 28,440 Reaction score 38,437 Mar 2, 2014 #7 Wilbert1974 said: View attachment 142457 Ni ubahiri au kitu gani... Click to expand... team morogoro! team msamvu!
Wilbert1974 said: View attachment 142457 Ni ubahiri au kitu gani... Click to expand... team morogoro! team msamvu!
CHIKITITA JF-Expert Member Joined May 1, 2013 Posts 445 Reaction score 158 Mar 2, 2014 #8 mzima sana, ni mipango tu