Bifu La Diamond Na Alikiba Linazidi kushusha Mziki wetu Kimya Kimya.

Jimmy De Lite

JF-Expert Member
Jun 10, 2019
635
2,305
Hi Guys,,

I Hope Mko Gud,,,Right?

Ok Freshhhh,,,

Sikumbuki vizuri Hili bifu la hawa miamba wawili wa Bongo flava lilianza lini ila ninacho jua tu bifu lao lina muda mlefu kidogo,

Kusema ukweli Mimi siamin kama hawa jamaa wana bifu Kweli,Ila Mimi ninacho amini hili bifu liliundwa kibiashara ili watu wapige hela,Mwisho wa siku matokeo ilikuja kuwa bifu Kweli na kufanya mziki wetu ujenge makundi,wa huku wa huku na wa kule wa kule

Mwanzoni mwa bifu hili tuliona matunda makubwa sana ikiwa ni pamoja na mziki wetu kufanya kukua kimataifa,Ilikuwa kila tuzo zinazo tangazwa ni lazima ukutane na majina ya wasanii wetu,Diamond Platnumz,Alikiba,Vanessa na Navykenzo,

Ilifikia hatua mpaka wanaijeria wenyew wakawa wameanza kutishika na sisi, wasanii kutoka huko kila wiki lazima kuna mmoja alikuwa anakuja kufanya media Tour hapa kwetu.

Hilo bifu liliendelea kuleta matunda mpaka ilipo fika mwaka juzi 2017,Kama mtu utakuwa ni mfuatiliaji mzuri na asiye na ushabiki utagundua mziki wetu ulianza kutikisika hapo,Na mwaka huo ndo bifu lilikuwa halina nguvu sana kihivo cz Alikiba alionekana kuzidiwa au naweza kusema aliridhika, Hvo basi ilifanya Diamond abaki peke yake huku aki ipambania bongoflava na kupelekea kufanya collabo kubwa kubwa za kimataifa,Licha ya kufanya collabo hzo matokeo yake yalikuwa yanakuwa tofaut na makusudio,Hali hiyo ilipelekea Diamond kuchoka kiaina flani japo hakutaka kuonyesha hilo.

Diamond kwa mwaka Jana naweza sema hakutoa ngoma zaidi ya mwanza na Tetema alizo shirikishwa na rayvany,Ukizifuatilia hzo ngoma ni hit song kubwa sana kwa hapa bongo na kenya Lakini ukifuatilia huko mbele huzioni tofauti na miaka ya nyuma ambapo ngoma ikiwa ina sumbua hapa bongo na Kenya ujue tuzo zijazo hiyo ngoma lazima iingizwe kwa category,

Diamond karudi kwenye game mwaka huu na nguvu zote,Ukifuatilia ngoma anazo toa ni local kwa malengo ya kutaka kuliteka soko tena ili aurudishe mziki wetu kimataifa,Ni jambo zuri sana kuona ndugu yetu akiwa anapambania mziki wetu ili ukue zaidi,Lakini ninacho sikitika ni kuwa watu hawajui mziki wetu kinacho ufanya ushuke,siku zote ili usimamishe kitu lazima kuwepo na ushirikiano,hilo halina ubishi,mfano ni Nigeria.

Kuna ukweli ambao ni mchungu ila itabidi tuuseme,Alikiba na Diamond washashuka kimziki ila hizi timu zina wabeba sana,Hizi timu za Diamond na Alikiba zimeleta madhara makubwa kwenye mziki wetu ila nasikitika kuona watu hawaoni,Nina uhakika endapo Alikiba Na Diamond wakipatana ndani ya miaka miwili tunaweza pata matunda makubwa sana,Kutokana na hizi bifu zilizopo imefikia hatua baadhi ya wasanii wanaogopa kufanya collabo na msanii wa timu flani kwa kuhofia kutengwa na mashabiki wa upande flan,mfano mkubwa ni baada ya Navykenzo kufanya collabo na Mond ni kama wametengwa na timu kiba hali inayo pelekea Navykenzo wakitoa ngoma peke yao haifanyi poa,huo ni mfano mdogo tu.

Najua kuna watu huwa wanahofia endapo hili bifu likiisha inaweza kufanya Alikiba kupotea,Mim sikubaliani na hili coz tumeshuhudia juzi kati wizikd na Davido wakipatana,Na baada ya kupatana majina yao ndo yamezidi kuwa makubwa na kufanya show nyingi ambazo malipo yake yamevunja record,Mim Nina uhakika endapo hawa miamba wawili wakipatana wanaweza Fanya show pale national stadium na wakajaza au Hata kuzunguka nchi nzima na wakapiga hela sana na kupelekea wasanii wetu kuwa huru kwa collabo za kila upande na kusapotiana.
 
Jana nilijisikia vizuri sana baada ya kupata mafanikio makubwa kwa muda mfupi..
JF Expert Member 😂😂
 
Unayosema ni kweli mzee ila me katika kuangalia kiba inabidi ajishushe kwa sababau ana maringi sana yule jamaa anataka kujifanya yeye ni mungu aisee ni fala sana kujitenga tenga na wengine..mimi sio timu ya mtu yoyote ila that nigga must come into his sense
 
unayosema ni kweli mzee ila me katika kuangalia kiba inabidi ajishushe kwa sababau ana maringi sana yule jamaa anataka kujifanya yeye ni mungu aisee ni fala sana kujitenga tenga na wengine..mimi sio timu ya mtu yoyote ila that nigga must come into his sense
Hili bifu limefanya wenye vipaji wasionekane.
 
Aisee to be honest mimi napenda sana mziki wa bongo especially Hip Hop ila kwa wasanii wanaoimba nawapenda baadhi yao..
Ila Diamond na Alikiba nawakubali wote kwa mitazamo tofauti..
Diamond anastahili heshima kubwa sana ni msanii pekee aliyekaa kileleni kwa muda mrefu tangia nimejitambua katika ulimwengu wa mziki..
Upande wa Alikiba namkubali kama msanii pekee aliyeweza kurudi kwenye game kwa mafanikio makubwa, kama ni mfuatiliaji wa muziki utakumbuka kuna kipindi alipotea kabisa yani hakutoa kazi mpya na kuwafanya watu wengine wang’ae ila amerudi tena kwa kishindo hapo nampa heshima wakuu ukianguka halafu ukasimama wewe ni mwanaume kweli..
Nikichambua muziki wa bongo kama mtu huru Diamond ana mchango mkubwa sana ukiangalia hasa jitihada zake za yeye kufika mbali kimataifa na jitihada za kuwasogeza wasanii wenzake wa WCB kimataifa sio kazi ndogo wala ya kubeza..
Diamond amewa-inspire wasanii wengi kutafuta mafanikio makubwa kupitia muziki mpaka wakongwe hivyo ameikuza sanaa yetu kwa kiasi kikubwa hili halihitaji kuangaliwa kiushabiki..
 
Sababu waliomtegemea anguke,sasa hivi ana nguvu kuliko wao kuanzia social media,digital platforms zote kakamata yeye,pili ana uwezo wa kuandaa events kubwa kama wao na kibaya zaidi Label yake kwa mwaka wa pili mfululizo pamoja na mizengwe wametoa hits za kutosha na kupata shows na deals nyingi mno nje na ndani ya nchi,tatu mtu huyo huyo sasa hivi nae ana miliki vyombo vya habari ambavyo vinamsaidia kusogeza mziki wake.

Sasa mtu kama huyu ambaye walimpiga vita vya wazi ili aanguke na apotee kwenye game leo hii yy ndiye ana nguvu kubwa,sizani kama atakuwa mtu wa kwanza wa kuomba wayamalize,kwani yy kwake na wasanii wake mambo yanawaendea vizuri mno na kibaya zaidi kila siku ngome yake inazidi kukua kwani kabla mwaka haujaisha kuna wasanii wawili atawatambulisha.

Ila hata mimi hili beef linaniuma sababu kuna baadhi ya wasanii ni wakali lkn wanazibwa na hizi teams.

hapana,,lolote lina wezekana kaka.
 
kinacho zungumziwa hapa siyo bifu la Diamond na clouds,ni kushuka mziki wetu,Diamond kufanya vzr kwenye social network cyo kigezo cha kufanya vizuri kimataifa,swali ni je,licha ya kufanya vzr kwenye hzo network unaona mziki wake una enda huko mbele zaidi ya kusumbua hapa na Kenya? Ni muda sasa bifu hili lifike mwisho ili wasanii wote wafanye mziki kwa Uhuru
 
kinacho zungumziwa hapa siyo bifu la Diamond na Alikiba na kushuka mziki wetu,Diamond kufanya vzr kwenye social network cyo kigezo cha kufanya vizuri kimataifa,swali ni je,licha ya kufanya vzr kwenye hzo network unaona mziki wake una enda huko mbele zaidi ya kusumbua hapa na Kenya? Ni muda sasa bifu hili lifike mwisho ili wasanii wote wafanye mziki kwa Uhuru.
Tasnia yoyote ili ikuwe lazima iwe na mwingiliano hili beef limezuia huo mwingiliano yaani industry ya bongo fleva ina lack of Collaboration na Induction na ndicho walichotupita wanaijeria,industry yao haina vikundi kundi hivi kama vyetu.
 
Big up,ume zungumza kitaalamu bro.
 
Tasnia yoyote ili ikuwe lazima iwe na mwingiliano hili beef limezuia huo mwingiliano yaani industry ya bongo fleva ina lack of Collaboration na Induction na ndicho walichotupita wanaijeria,industry yao haina vikundi kundi hivi kama vyetu.
Mkuu naija ipi unaizungumzia !!!..kiufupi Nigeria kuna battle of kings and Queens, Wizkid vs Davido , Tiwa Savage vs Yemi alaide ila tofauti yao na yetu ni kuwa , hawapeleki beef zao hadi nje ya nchi yaani wanapeana support na kingine wana recording labels nyingi na zinazalisha international artists.
 
  • Thanks
Reactions: Qwy

Wenzetu wanna beef lakini wanawahi kuzi solve sio hizi zetu hata Don Jazzy na Olamide walikuwa na beef ilidumu kwa miezi miwili na baadaye Olamide akafanya Collabo na msanii aliyekuwa chini ya Label ya Don Jazzy.

Wizkid na Davido beef lishaisha ,sisi kuna mabeef ya miaka zaidi ya mitano utafikiri wamechukuliana wake.

Records Label kweli zinazalisha wasanii wengi lakini zinashirikiana kwetu ni tofauti.
 
Back
Top Bottom