monde arabe
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 8,887
- 13,644
hahhahah daahNimefanya mziki kwa muda sasa na niko vizuri lakini kila nikijitahidi kutoboa mambo yakuwa magumu , nimejaribu kwenda kwa waganga mbalimbali lakini hali imezidi kua ngumu masharti ni magumu sana aisee , sasa sijui ni mimi tu au wanamziki wote wanakutana na hali kama yangu hii !
1.mganga wa kwanza aliniambia nifuge nyoka atakua anajilisha mwenyewe kwa miaka kadhaa kisha itabidi nimlishe nikamuuliza anakula majibu yake niliondoka bila kuaga.
2.Mganga wa pili akaniambia nikaoge kariakoo mchana hili nilitaka kuweza kwa mbali lakini akaniambia ukishaoga inabidi umalizie kazi kwa kulala makaburini wiki nikachochola .
3.Mganga wa tatu akaniambia nitatoka lakini nilale na mtu wangu wa aibu (kufanya nae mapenzi ) mimi nduki.
4.Wanne akaniambia nipunguze namba za kuishi hii pia nikafikiria ikiwa miezi mitatu ya raha alafu ukate moto je si noma sikurudi .
Sijui nifanyeje sababu waganga wakuogaoga nisha jaribu karibia 27 lakini hakuna kitu we unataka kutoka unapata mademu tu .View attachment 1301726
Sent using Jamii Forums mobile app
umenena mpwaGet rich or die trying , Hakuna mafanikio ya bure brother...
Mimi nikishafikia level ya kutengeneza mil 5 per month inatosha kabisa, nguvu ya juhudi inaishia hapo, zaid ya hapo ni about faith na ndumba ....
Nyimbo yangu hiiMziki ni biashara kama biashara nyingine zilizo sokoni so kama unataka kufanya mziki au kuingia katika mziki kwanza unatakiwa kuelewa kua kuna watu wengi sana wanafanya mziki wakila aina ingawa hujasema unafanya mziki wa ainagan lakin hata huo unaofanya kunawatu wanaufanya
Ushauri inabidi uwe mbunifu nikisema ubunifu kama wewe ni msanii utakua umeelewa so Fanya kitu ambacho unahisi hakijawah kuepo kwenye mziki huu namaanisha kuanzia beat uandishi na vile unavyo wasilsha ujumbe pia uwe mfatiliaji wa mziki mingine
Pia jaribu kutoka nje ya mkoa ulipo na kuangalia sehem nyingine wanafanya mziki wa aina gan
Bora umetoa maelezo yakoLa kujua ni kuwa hakuna mafanikio bila kafala wengi watakwambia wanamuomba Mungu humu ila ndio watu wa kafala no 1 hata mimi nilihaha sana ila kuna njia ukishazigundua basi umemaliza kila kitu ndugu yangu we hujawahi kujiuliza zile pete wanazovaa watu wakubwa ni nini?
Ni kweli mdugu bora tumweke wazi kijana akae akijua kuhusu hilo
Weka mziki wako hapa tuone Kama unajua kuimbaNimefanya mziki kwa muda sasa na niko vizuri lakini kila nikijitahidi kutoboa mambo yakuwa magumu , nimejaribu kwenda kwa waganga mbalimbali lakini hali imezidi kua ngumu masharti ni magumu sana aisee , sasa sijui ni mimi tu au wanamziki wote wanakutana na hali kama yangu hii !
1.mganga wa kwanza aliniambia nifuge nyoka atakua anajilisha mwenyewe kwa miaka kadhaa kisha itabidi nimlishe nikamuuliza anakula majibu yake niliondoka bila kuaga.
2.Mganga wa pili akaniambia nikaoge kariakoo mchana hili nilitaka kuweza kwa mbali lakini akaniambia ukishaoga inabidi umalizie kazi kwa kulala makaburini wiki nikachochola .
3.Mganga wa tatu akaniambia nitatoka lakini nilale na mtu wangu wa aibu (kufanya nae mapenzi ) mimi nduki.
4.Wanne akaniambia nipunguze namba za kuishi hii pia nikafikiria ikiwa miezi mitatu ya raha alafu ukate moto je si noma sikurudi .
Sijui nifanyeje sababu waganga wakuogaoga nisha jaribu karibia 27 lakini hakuna kitu we unataka kutoka unapata mademu tu .View attachment 1301726
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli aiseeNi kweli mdugu bora tumweke wazi kijana akae akijua kuhusu hilo