james H mapunda
Member
- Aug 8, 2013
- 29
- 16
Nimefanya mziki kwa muda sasa na niko vizuri lakini kila nikijitahidi kutoboa mambo yakuwa magumu , nimejaribu kwenda kwa waganga mbalimbali lakini hali imezidi kua ngumu masharti ni magumu sana aisee , sasa sijui ni mimi tu au wanamziki wote wanakutana na hali kama yangu hii !
1.mganga wa kwanza aliniambia nifuge nyoka atakua anajilisha mwenyewe kwa miaka kadhaa kisha itabidi nimlishe nikamuuliza anakula majibu yake niliondoka bila kuaga.
2.Mganga wa pili akaniambia nikaoge kariakoo mchana hili nilitaka kuweza kwa mbali lakini akaniambia ukishaoga inabidi umalizie kazi kwa kulala makaburini wiki nikachochola .
3.Mganga wa tatu akaniambia nitatoka lakini nilale na mtu wangu wa aibu (kufanya nae mapenzi ) mimi nduki.
4.Wanne akaniambia nipunguze namba za kuishi hii pia nikafikiria ikiwa miezi mitatu ya raha alafu ukate moto je si noma sikurudi .
Sijui nifanyeje sababu waganga wakuogaoga nisha jaribu karibia 27 lakini hakuna kitu we unataka kutoka unapata mademu tu .
Sent using Jamii Forums mobile app