Mehek
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 7,473
- 10,432
Huyo uliyekutana nae usimpambanishe na wengineee........
Kila mtu atabeba mizigo yke
, Mapenzi ni zaidi ya kunjunjuana.....
kama hajui mfundisheee.!!!!
Huyo uliyekutana nae usimpambanishe na wengineee........
Mimba haikupangwa!!??Kumpa elimu bora kabisa... pamoja na kuwa mimba haikupangwa ila mimi mama ake sishindwi kumpatia elimu nzuri.
Inna naomba niku interviewMfyuuuuuu[emoji57] [emoji57] [emoji57]
Umesahau dhambiMimba haikupangwa!!??
Matokeo ya ngono.
1.mimba
2.STD
3.ukimwi
4.kuinjoyi
5. Muda mwingine unapata vyote kwa pamoja.
brain is the beautiful part of the body.