Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,925
- 95,582
aghrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr walahi haya majitu yaanatisha haya uwii hapo limemeza na kama halijala litameza hata punda uwii
Ha ha ahhhhaa. Ati majitu.aghrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr walahi haya majitu yaanatisha haya uwii hapo limemeza na kama halijala litameza hata punda uwii
mimi kunakipindi nilikuwa nikiwaza nyoka tu namuona na ninwawaogopa hatare ipo siku nilikuwa natoka kazini, nikawa nawaza kuwa nitakuta nyoka ndani ............hamad ile nazama chumbani nyoka huyoo keleweii nilikimbia na maparachichi niliyobebe tupa kule na sikulala hapo.Ha ha ahhhhaa. Ati majitu.
Ilo joka abaa
Ha ha haaa. Hio shida sasa.mimi kunakipindi nilikuwa nikiwaza nyoka tu namuona na ninwawaogopa hatare ipo siku nilikuwa natoka kazini nikawa nawaza kuwa nitakuta nyoka ndani hamad ile nazama chumbani nyoka huyoo keleweii nilikimbia na maparachichi niliyobebe tupa kule na sikulala hapo nashkuru mungu sijui nilikuwa na jini la nyoka sa sizi hizo hisia za nyoka hazipo khaaaaa
mshana nitakuuliza badae kwanini nilikuwa nikiwaza nyoka tu namona
Hili mnalifungia safari na kirikou iliyojaa mazagazaga ya viungo kuanzia chumvi mpaka malimao na kuni za kutosha kabisaaghrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr walahi haya majitu yaanatisha haya uwii hapo limemeza na kama halijala litameza hata punda uwii
Hili mnalifungia safari na kirikou iliyojaa mazagazaga ya viungo kuanzia chumvi mpaka malimao na kuni za kutosha kabisa
Mkishaliua mna hakikisha mnamla kama hamumjui vile
-asubuhi mchemsho
-mchana roast
-usiku nyama choma daily mpaka mummalize
Acha kabisa hii mambo
hiyo morning na chapatiAcha kabisa hii mambo
Your evil thoughtsMi nilidhani picha ya demu aliyefungasha!
Looh, disgusting
Halafu hata halinogi juu ya mti, mambo hyo awaachie nyoka wa kijani teh teh teh!aghrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr walahi haya majitu yaanatisha haya uwii hapo limemeza na kama halijala litameza hata punda uwii
Hapana ni Nyau...!Huyu ni chatu ama??