Unatumiaje? Kama juice, au unapaka kunako na miwasho yake unakabiliana nayo vipi?!maji ya limao au ndimu kitu inarudi mahala pake mchina kansa aku!
Madame B na Evelyn Salt product hizo
Unatumiaje? Kama juice, au unapaka kunako na miwasho yake unakabiliana nayo vipi?!
So,kwa mwezi unapaka mara ngapi?
kwanza hata risk ya michubuko hamna!!!'Zilizopwaya' zina utamu wake!
Eti ni bei gani?
nikununulie?
....mmh niulizie bei, afu kama kuna mawakala huku kwetu, au...ok ninunulie!!!!!!!!